Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Una mambo ya kizee
IMG-20240630-WA0017.jpg

Guess my age 🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣Mm ndo wifiyako og
Mbona kumrusha roho mwenzio my WiiπŸ˜€πŸ˜€
Wew utaki niende south Africa πŸ˜€
Wifi yangu wa uchungu kabisaa πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Nyie lazima niwakutanishe msinitanie, bro hawezi kulikosa toto zuri km wewe JF nzima unakimbiza 😜
 
Back
Top Bottom