Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Utakuta taa zinachezacheza!! ππMimi ndo mana napenda horror movies, hizo movie hata mtu mwema akishinda bado mwisho wa movie itaachwa mdomo wazi kuona adui bado wameshindwa kumdhibiti
Horror and thriller movies zinavyomalizwa utadhani kutakuwa na part two kumbe ndo imetoka hvy π lazima wakuache na hamu ya kujua nn kitaendeleaUtakuta taa zinachezacheza!! ππ
Ulimaindi pale fifty alipokula shaba nini!!ππDen of Thieves
Move Title: Inside ManHabari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia.
Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.
Hii movie nilitamani Majors Ashinde. Movie gani ulitamani adui ashinde?
View attachment 2605209