Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia.
Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.
Hii movie nilitamani Majors Ashinde. Movie gani ulitamani adui ashinde?
Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.
Hii movie nilitamani Majors Ashinde. Movie gani ulitamani adui ashinde?