realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅.
Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata. Nimefika stendi Basi ndo kwanza linatoka nililia kama mtoto mdogo ikabidi watu wanisaidie kulisimamisha. Nilisemwa hadi nilijuta.
Vipi wewe umewahi kuachwa na mabasi au Treni?