Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Wakuu!
Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments
Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini?
Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments!
Viongozi wakumbuke watu hawafanani na hawalingani. Na sio wote watawasifia, so waache watu mapovu yawatoke
Hivi wanajua uchungu pale ambapo una povu halafu huna pa kulitoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wasitufanyie hivyoooooo 😂 tuachwe tutoe mapovuuuu
Hii hoja ya Jalilu kutoka X imenifurahisha kweli
Kama unasimamia akaunti ya mitandao ya kijamii ya kiongozi wa umma, usitumie akaunti hiyo kuwanyamazisha au kuwazuia watu (mute/block). Hiyo si tabia ya kitaalamu, na haikubaliki kabisa katika kazi ya usimamizi wa mitandao ya kijamii.
Kila msimamizi wa mitandao ya kijamii anapaswa kuwa na ustahimilivu wa kidijitali yaani uwezo wa kustahimili changamoto kama vile matusi mtandaoni, kejeli, au maoni hasi.
Simamia mitandao ya kijamii kwa weledi