Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

Mmh... mi nimechapwa hadi niliwachukia. Tena saingine kosa la mmoja tunapigwa wote watatu. Mdogoetu alikua mdogo.
Nilichokuja kugundua baadae ni kua wazazi walikua na stress mno.
Watu na ndugu walitamani maisha yetu ila hawakujua tu yanayoendelea. Migogoro yao ya ndoa ilitutesa sana sana.. SANA!
Mkisikia ukatili kwa watoto ndio ule. Kila siku Nilitamani kuihama ile nyumba. Nilivyomaliza six tu nikabahatisha kibarua cha hela nzuri halafu mkoa wa mbali. Nilishukuru

Mdogoangu anaenifatia ni wa kiume. Yeye alifaulu mkoani kuanza kidato cha kwanza ikawa sababu. Hakurudi tena hata likizo.

Nimepigwa hadi form 6 nachapwa vikosa vyenyewe sasa. Saingine kutoa Radio Tumaini kuweka radio One.
Hdi miak ishirin unachapwa loh
 
Hakika. Juzi mama alikua na check up jakaya Kikwete cardiac institute na kaenda mwenyewe na karudi mwenyewe. What a miracle from kubebwa hadi kwenda mwenyewe ndani ya miezi minne.
Imagine wakati anaanza kuumwa pressure was 280/180.
Wow! God be praised
 
Mi kupigwa nmepgwa sana aisee ila nna vipigo viwili sitokaa nisahau kimoja nipo 4m one yaan toka nianze mwez wa kwanza nilienda mwez huo huo tu shule mingne yote nabana kuzi naishia njian sifiki shule kwa muda wa miez 9 msala ulipobumburuka nilipgwa sana akili iliponirudia nilijkuta nipo hospital hata kukaa siwez
Kingne nilpewa nusu saa tu ya kusherekea mwaka mpya yaan saa 6 na 30 niwe nmerud ndan mwanaume si nkarudi saa 9 nilichokutana nacho hata kukielezea cwez kutembea ilikua shida hapo matako yamevimba hatari ukishika utazan yana jiwe kumbe damu imegand hyo wakati huo nipo 4m 2 na ndo ilkua siku ya mwisho kupigwa hyo

But leo nikikimbuka wazazi wangu walikua sahihi wala hawakunionea na wamenijengea mazingira mazur sana hdi leo nna heshimu kila kitu na kila mtu
 
MAISHA BANA watu tumeshapigwa mikanda ya kijeshi, virungu vya MP, waya wa pasi, mipini ya visu, mikia ya taa(samaki), hinzirani, bakora za mianzi, daah!! Kipindi cha utoto nilikuwa mkorofi sana.
Sahivi napigwa na maisha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah nakumbuka darasa la nne nilipigwa fimbo na walimu wawili na mlezi akawa wa tatu.nilikua mtoro sugu.asubuhi natoka nyumbani na uniform sifiki shule.nilichapwa bakora mbele ya wanafunzi wote.
 
nilikua mroho sana wa nyama....naweza kuiba nyama za kwenye mboga zote......nilikua napigwa sana...
 
MAISHA BANA watu tumeshapigwa mikanda ya kijeshi, virungu vya MP, waya wa pasi, mipini ya visu, mikia ya taa(samaki), hinzirani, bakora za mianzi, daah!! Kipindi cha utoto nilikuwa mkorofi sana.
Sahivi napigwa na maisha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah nakumbuka darasa la nne nilipigwa fimbo na walimu wawili na mlezi akawa wa tatu.nilikua mtoro sugu.asubuhi natoka nyumbani na uniform sifiki shule.nilichapwa bakora mbele ya wanafunzi wote.
Daah!! Mi darasa la sita nilichangiwa kuchapwa na walimu staff room! Mimi na rafiki yangu! Tulikamatwa tunachokonoana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Duuuuu
Mimi nakumbuka tuliiba matunda kwenye bustan ya mzee jiran yetu

Bas bwana Yule mzee hakuangaika kutufukuza akatuacha tu

Tulikula yale machungwa tukashiba sana

Ile kurud saa moja jion namkuta mzee tuliyeiba matunda kaketi sebulen wanapiga story na bi mkubwa

Duuuuu Ile kuingia jikon namkuta sister anarukaruka ananicheka

Mwanaume nikajua picha ishaharika

Nikaanza kulia chumbani kabla hata ya kesi

Gafla hata choz halijafika shavun namwona maza huyu ana ifunga kanga vizur

Alinikusanya chini ya miguu yake...... Alinifinya kwenye paja, kwapa, matakon n. K

Nachokumbuka nililalala wiki nzima kwa kuumwa

Hii ilikuwa darasa la tatu
 
Daah!! Mi darasa la sita nilichangiwa kuchapwa na walimu staff room! Mimi na rafiki yangu! Tulikamatwa tunachokonoana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We mi sikuwezi paprika[emoji87] [emoji87]
 
Enhe! Makubwa, [emoji704] au?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakumbuka cha brother wangu.... Niliacha kuchunga kondoo nikaenda kucheza mpila nilichezea fimbo hizo hadi leo ninakovu!!
 
nakumbuka nilitega mafundisho ya kipaimara mwaka mzima nilikuw naenda kucheza mpira, dozi niliyopewa siwezi kusahau
 
mm nakumbuka nilifanya kosa mama akataka kunichapa baba akamwambia nikabidh huyo mtoto akaningiza ndani
,nje watoto kibao . baba akapiga fimbo pembeni kisha akaniachia nitoke akiniambia nilie mama asijue
Nikalia kiuongo kumbe mama kashtukia baadae nimetulia nikashtukia fimbo za miguu ilikuw raha kama muvi
 
Back
Top Bottom