Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
- Thread starter
- #201
Ubinafsi unatuponza mamy!!! Tumekua wabinafsi mpaka tunapoteza utu.Mkuu kutetea uhai wa MTU kunaanza taratibu... Mfano una jirani anaefinya watoto na kisu, tena anakiweka jikoni kwenye moto, au anapiga watoto sana, kemea mwambie ni kinyume na taratiibu ya malezi ya mungu, Nachukia wazazi "wanaopambana na watoto wao" MTU unamkanyagakanyaga mtoto why.....