Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

Mkuu kutetea uhai wa MTU kunaanza taratibu... Mfano una jirani anaefinya watoto na kisu, tena anakiweka jikoni kwenye moto, au anapiga watoto sana, kemea mwambie ni kinyume na taratiibu ya malezi ya mungu, Nachukia wazazi "wanaopambana na watoto wao" MTU unamkanyagakanyaga mtoto why.....
Ubinafsi unatuponza mamy!!! Tumekua wabinafsi mpaka tunapoteza utu.
 
Sijui ugumu unakuja wapi kumlea mtoto wa mwenzako kwa upendo!!!
Ninavyofahamu watu wenye hofu ya mungu wanawalea vizuri kwa upendo badae akianza kukosa heshima baada ya kugundua wewe so mama yake, by the time akiwa 20's ndo unasema nilijitahidi ngoja niache yaishe km ataharibika basi lakini mtoto Wa 8 yes anateswa km vile alichagua kuzaliwa kwa bahati mbaya!!!! Jamani.... Aisee kuna jirani Yangu ana maneno anamwambia mwanae Wa kambo" akili yako inakaa mk.u.d..u..ni[emoji24] Mie nalea mamako yuko bize anavunja ndoa za watu tu[emoji24] [emoji24] ila kwanzia amenifahamu mie misimamo Yangu nikiwepo hasemi maneno Makali Makali..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwingine anakupa kipondo alafu unatoka hapo anakuita kuchukua hela ukanunue biskuti!!! Yaani maumivu yanaisha hapohapo!!!
Hahah umenikumbusha mbali.hiyo tekniki mpaka leo wazazi wangu wanaitumia,akiona amekufanyia kosa au amekukera anatafuta kazawadi anakuletea na kesi inaishia hapo
 
Mimi nimeishi maisha ya chini ya chini. Namaanisha ukitoka maisha ya chini ndio yanafuata maisha yetu. No video. No Radio.
So nina Experience ya vitu vingi sana hasa utotoni no kudekezwa. Ngoja nisome kwanza comments then namm nitupie kipigo heavy changu nilichopata toka kwa Maza wadogo na faza wadogo

Pole sana.nimegundua kitu.pole tena
 
Daah. Hili neno "mpaka ushangae" Mchungaji wetu sahivi analitumia Sana na tena anaimba kabisa huo wimbo.
Strange na we umesema hivyo hivyo.
Amina napokea Baraka hizo[emoji122]
Ndo baraka za Mungu zilivyo... Zinakuacha umeduwaa
 
Ndo baraka za Mungu zilivyo... Zinakuacha umeduwaa
Hakika. Juzi mama alikua na check up jakaya Kikwete cardiac institute na kaenda mwenyewe na karudi mwenyewe. What a miracle from kubebwa hadi kwenda mwenyewe ndani ya miezi minne.
Imagine wakati anaanza kuumwa pressure was 280/180.
 
Back
Top Bottom