We acha tu jamani ule mchezo ulileta majanga lolTuliibaga wengi kumbe wakati wa kujipikilisha [emoji3][emoji3]
Amina.Kaka yangu akiyeniachia ziwa alikua mtundu sana sana ,siku moja mama akiwa ameandaa chakula alituita ili tukapate mlo wa mchana,tulipofika akatuamuru tunawe nami nikaambiwa niombee chakula(ilikua zamu yangu)nikafumba macho nikaanza kuombea chakula kaka yangu akanifinya Mungu wangu!!nikafumbua macho tukatazamana huwezi amini wote tulicheka kwa sauti na sala ikakomea hapo,shetani mbaya sana jamani,mama alikasirika ,tulichapwa huku akitusimamia kula hakika sitasahau...hata hivyo jambo hilo limenisaidia sana kuheshimu ibada na sala namshukuru sana mama yangu...Apumzike kwa Amani mama.
Daah!!! Hiyo ya vibao ndo sijawai onja isee!!! Sisi ilikua mwendo wa fimbo, ndala na vifinyoNakumbuka nilipata kibao kimoja matata Sana Kutoka kwa mdingi,
mpaka kupelekea Mimi kutokwa na damu nyingi Sana puani{ MKURUMPALA,Tokea siku hiyo, baba hajawahi tena kunipiga kamwe.., na sikumbuki nilifanya kosa gani mpaka aniadhibu vile
Amani!!! Yaani wazazi walituchapa si kwa nia mbaya!!! Ni kuturekebisha tu.Kaka yangu akiyeniachia ziwa alikua mtundu sana sana ,siku moja mama akiwa ameandaa chakula alituita ili tukapate mlo wa mchana,tulipofika akatuamuru tunawe nami nikaambiwa niombee chakula(ilikua zamu yangu)nikafumba macho nikaanza kuombea chakula kaka yangu akanifinya Mungu wangu!!nikafumbua macho tukatazamana huwezi amini wote tulicheka kwa sauti na sala ikakomea hapo,shetani mbaya sana jamani,mama alikasirika ,tulichapwa huku akitusimamia kula hakika sitasahau...hata hivyo jambo hilo limenisaidia sana kuheshimu ibada na sala namshukuru sana mama yangu...Apumzike kwa Amani mama.
Sio kawaida yake kupiga vibao. Sijui ilikuwaje.na kibao chake kinauma hatari. Tokea siku ile alisema hatonipiga tena..Daah!!! Hiyo ya vibao ndo sijawai onja isee!!! Sisi ilikua mwendo wa fimbo, ndala na vifinyo
Umenikumbusha home alikuja mgeni na baiskeli.Nilikuwa mtundu sana nilipokuwa primary, kuna siku mzee alirudi na radio mpya, nikaifungua yote, nikashindwa kuifunga, na hii ilikuwa radio ya tatu kuiharibu. Sasa mzee aliporudi toka job alipa bakora nne za maana, na adhabu ikaendelea kwa wiki nzima kila akitoka job ni salam na fimbo moja then tunaendelea na mambo mengine.
Mkuu, hiyo ya dynamo ilikuwa nikienda church nafungua baiskeli za watu.Umenikumbusha home alikuja mgeni na baiskeli.
Nikafungua lile "jiko" au dynamo ya ile baiskeli ili niichunguze inatoaje Umeme. Ikibidi iibadilishe na mota nilizokua nazo then nitengeneze Umeme.
Muda wa kuirudishia pale ilipokua si nikashindwa mzee[emoji23] [emoji23]
Hiko kipigo alichonipa mama si cha dunia hii imagine hadi mwenye baiskeli akasema kipigo hakilingani na kosa na akamwambia bi mkubwa aniache I'm a genius hahha. We Jamaa akili zako kama zangu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo wewe sasa ulinizidi hadi churchMkuu, hiyo ya dynamo ilikuwa nikienda church nafungua baiskeli za watu.
Hakika imenisaidia sana[emoji120]Amani!!! Yaani wazazi walituchapa si kwa nia mbaya!!! Ni kuturekebisha tu.
Hahahaha I seeMkuu, hiyo ya dynamo ilikuwa nikienda church nafungua baiskeli za watu.
Ni bora ange kutoa roho kabisa.Me nilipomwambia nimeipigia kura CCM
Naamini unapika vizuri sana kwa sasa.We acha tu jamani ule mchezo ulileta majanga lol
Mpaka nina kovu la kuungua na njeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee mimi mama angu ni mtaaramu wa kufinya
akikama steki za kwenye tumbo utaomba msaada mpaka kwa shetani
alafu unapigwa kipigo iko kama utoi machozi utajutaaa.... iyo inaitwa machozi yako ndio msamaha wako
Wamekulea kimayai mayai.Sikuwahi kabisa kupigwa na mzazi.