Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

Kaka yangu akiyeniachia ziwa alikua mtundu sana sana ,siku moja mama akiwa ameandaa chakula alituita ili tukapate mlo wa mchana,tulipofika akatuamuru tunawe nami nikaambiwa niombee chakula(ilikua zamu yangu)nikafumba macho nikaanza kuombea chakula kaka yangu akanifinya Mungu wangu!!nikafumbua macho tukatazamana huwezi amini wote tulicheka kwa sauti na sala ikakomea hapo,shetani mbaya sana jamani,mama alikasirika ,tulichapwa huku akitusimamia kula hakika sitasahau...hata hivyo jambo hilo limenisaidia sana kuheshimu ibada na sala namshukuru sana mama yangu...Apumzike kwa Amani mama.
 
Amina.
 
Nakumbuka nilipata kibao kimoja matata Sana Kutoka kwa mdingi,
mpaka kupelekea Mimi kutokwa na damu nyingi Sana puani{ MKURUMPALA,Tokea siku hiyo, baba hajawahi tena kunipiga kamwe.., na sikumbuki nilifanya kosa gani mpaka aniadhibu vile
Daah!!! Hiyo ya vibao ndo sijawai onja isee!!! Sisi ilikua mwendo wa fimbo, ndala na vifinyo
 
Kaka yangu akiyeniachia ziwa alikua mtundu sana sana ,siku moja mama akiwa ameandaa chakula alituita ili tukapate mlo wa mchana,tulipofika akatuamuru tunawe nami nikaambiwa niombee chakula(ilikua zamu yangu)nikafumba macho nikaanza kuombea chakula kaka yangu akanifinya Mungu wangu!!nikafumbua macho tukatazamana huwezi amini wote tulicheka kwa sauti na sala ikakomea hapo,shetani mbaya sana jamani,mama alikasirika ,tulichapwa huku akitusimamia kula hakika sitasahau...hata hivyo jambo hilo limenisaidia sana kuheshimu ibada na sala namshukuru sana mama yangu...Apumzike kwa Amani mama.
Amani!!! Yaani wazazi walituchapa si kwa nia mbaya!!! Ni kuturekebisha tu.
 
Sikuwahi kupigwa kipigo kidogo.
Vyote ni vipigo heavy si home kwa bi mkubwa sio shule.

Hata sijui niweke kipi ila vyote ni heavy. Mfano nani humu kapigwa na mama na fimbo ikiwa "wanchoma kumoyo"? Niliwahi pigwa na hio kitu nikiwa std 3 tena utosini. I almost fainted if only I wasn't a "nunda"
 
Nilikuwa mtundu sana nilipokuwa primary, kuna siku mzee alirudi na radio mpya, nikaifungua yote, nikashindwa kuifunga, na hii ilikuwa radio ya tatu kuiharibu. Sasa mzee aliporudi toka job alipa bakora nne za maana, na adhabu ikaendelea kwa wiki nzima kila akitoka job ni salam na fimbo moja then tunaendelea na mambo mengine.
 
Daah!!! Hiyo ya vibao ndo sijawai onja isee!!! Sisi ilikua mwendo wa fimbo, ndala na vifinyo
Sio kawaida yake kupiga vibao. Sijui ilikuwaje.na kibao chake kinauma hatari. Tokea siku ile alisema hatonipiga tena..
 
Mm kama ni kichapo nimekichezea aswa cyo om cyo shuleni yan ad nkawa sipendi shule wala nyumbani coz nlionaga kama huonevu vile ila cna wakumlaumu kwa ss coz kama cyo wao naic hapa nlipo ningepasikiaga tu.
 
Nilikuwa mtundu sana nilipokuwa primary, kuna siku mzee alirudi na radio mpya, nikaifungua yote, nikashindwa kuifunga, na hii ilikuwa radio ya tatu kuiharibu. Sasa mzee aliporudi toka job alipa bakora nne za maana, na adhabu ikaendelea kwa wiki nzima kila akitoka job ni salam na fimbo moja then tunaendelea na mambo mengine.
Umenikumbusha home alikuja mgeni na baiskeli.
Nikafungua lile "jiko" au dynamo ya ile baiskeli ili niichunguze inatoaje Umeme. Ikibidi iibadilishe na mota nilizokua nazo then nitengeneze Umeme.
Muda wa kuirudishia pale ilipokua si nikashindwa mzee[emoji23] [emoji23]

Hiko kipigo alichonipa mama si cha dunia hii imagine hadi mwenye baiskeli akasema kipigo hakilingani na kosa na akamwambia bi mkubwa aniache I'm a genius hahha. We Jamaa akili zako kama zangu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu, hiyo ya dynamo ilikuwa nikienda church nafungua baiskeli za watu.
 
aisee mimi mama angu ni mtaaramu wa kufinya
akikama steki za kwenye tumbo utaomba msaada mpaka kwa shetani
alafu unapigwa kipigo iko kama utoi machozi utajutaaa.... iyo inaitwa machozi yako ndio msamaha wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom