Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Hahahaa, halafu nimewahi kuona media fulani eti wanamwita kuwa ni bingwa wa stand up comedyKuchekeshwa sikumbuki
Landa kukerwa
Hivi aliacha ualimu? Msaidieni arudi kwenye taaluma yake. Anapiga tu makelele.Habari zenu, kwanza nianze kumpongeza MC Pilipili kwa kupambana, kwa ujumla ni MC mzuri sana tu, turudi kwenye mada, mimi ni mdau mkubwa wa vichekesho vya ndani na nje ya nchi yetu. Kimsingi sikumbuki kama kuna siku nimewahi kuchekeshwa na MC Pilipili, hua naangalia vipindi vyake vinavyoitwa vya ucheshi lakini hajawahi kunichekesha hata siku 1, huwezi mfananisha na mtu kama Joti au ile timu ya Mizengwe nk.
Kwa maoni yangu nadhani huyu bwana ni MC na si mchekeshaji au kuna wanao chekeshwa na MC Pilipili?
Inawezekana maana watu tumetofautianaHahahaa, halafu nimewahi kuona media fulani eti wanamwita kuwa ni bingwa wa stand up comedy
Una dhami jamani, muache awalie hela ila mimi simkubali kwa vyoteHivi aliacha ualimu? Msaidieni arudi kwenye taaluma yake. Anapiga tu makelele.
Hivi Idriss naye ni mchekeshaji eeh.Yeye na Idriss Sultan 'wanajichetua tu', hawana vipaji vya kuchekesha
Anaonesha jinsi alivyosotea penzi.Inawezekana maana watu tumetofautiana
Kuna wadau wanachekeshwa hadi na ashaboko
Mimi mtu anayelia kisa mwanamke au kuhamasisha wanaume wampigie goti mwanamke wakati wakuvishana pete mtu huyo kwangu ni kero
Duh! kweli wewe kivumishi😇😇Una dhami jamani, muache awalie hela ila mimi simkubali kwa vyote
Kivumishi Nimetamani kuchekeshwa na wewe ili nije kutoa ushuhuda hapa Jukwaani kweli MC mpilipili akuweziHata mimi namfunika
Kama lengo lake lilikua hivyo basi 90% mambo yameenda tofauti na alivyotarajiaAnaonesha jinsi alivyosotea penzi.