Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Kuchekacheka au ucheshi ni personality.

Unaweza kunichekesha Mimi lakini hapohapo usiwachekeshe wengine.

Unaweza kufurahisha I mean kuchekesha watoto lakini usichekeshe watu wazima.

Ila Mara nyingi wanawake ni victims zaidi wa machekesho kuliko wanaume.

Watu kwenye elimu kubwa ni wazito sana kufeel sense of honour kuliko wasio na elimu.

Mfano hata Mimi sijawahi kuchekeshwa na Bambo wala kingwendu.

Japokuwa wapo watu hujikuta wamecheka kwasab wenzao wanacheka.
 
Back
Top Bottom