Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Kwa hy wewe uli/uta-visha pete umesimama mana hii inaonyesha unyenyekevu kama vile kupiga magoti nk..hadi wazungu wanafanya hivyo, mtanzania kwann asifanye?

Unashauri tupigie magoti wachumba zetu eti kwa kuwa wazungu wanapiga!? Binafsi siwezi kumpigia mchumba magoti, maana hii kiroho haitaishia hapo itaenda hadi kwenye ndoa kwa kunipanda kichwani. SIYO KILA WANACHOFANYA WAZUNGU LAZIMA TUKIIGE. Inafaa na inapendeza Mwanaume ukiwa na msimamo. Lakini pia kiukweli Wanawake huwa hawapendi mwanaume dhaifu hivyo kitendo cha kumpigia magoti chaweza kumfanya awe na wasiwasi kuhusu msimamo na uimara wako kiroho HASA INAPOFIKA WAKATI WA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU.
 
Huwa anaboa Sana yeye baadala ya kichekesha anafanya mambo mengine, mara kuwashindanisha watu kumtuza. Hayupo serious anaibia watu pesa zao. Nadhani alipoenda Kenya ndio alijijua yeye sio mchekeshaji. Maana alikuwa anaongea utumbo wake watu wanamuangalia
 
Back
Top Bottom