Naungana na
Mwamba 777 Block ni utoto na mambo ya kishamba ila si jambo la kushangaza mwanamke akifanya hivyo maana wanawake ni watoto wakubwa 😅... mtoto mwenye maziwa, anayeweza kuzaa na anayerefuka kimo. Lakini bado ni mtoto. (Mwenye kuelewa ameelewa)
ANAEKU-BLOCK HAKUPENDI! (aidha mwanamke au mwanaume)
usipoteze muda kuumia na kuwaza. Na ukiona Dume linafanya hivi inabidi lifanyiwe tathmini.
Ushauri ni kwamba... Wanawake wapo wengi sana! Hangaika kuchagua kwa makini, unaweza kumpata bora kuliko aliyepita Ingawa si rahisi kumsahau mrembo wako uliyempenda kabla akakuletea utoto akaku-block.
Kumbuka:- Unaweza kuwa blocked mwanzoni ukapambania zigo kama ndugu yangu
Mzee wa kupambania na ukampata... kama uko serious lakini
#Nawasilisha