Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Mkuu ulipambana kweli hukukata tamaa , kipande kilichonifurahisha ni kile umeomba block alafu ukaomba vikwazo vitolewe baada ya kushinda yaani hapo ni sawa na kuomba vita alafu ukapigwa tukio ukakubali mwenyewe yaishe
True mkuu

ile bloku ilinipa mgogoro wa kinafsiya nikaona siwezi ishi vile

Hamdulillah yule mtoto ni muelewa sijapata ona
 
Ama mtu qkupende tu. Nimewahi kuharibu sehemu zaidi ya mara tatu za mwanzo hadi nikaulizwa "Z ulizaliwa na matatizo Ama yamekupqtq ukubwani?" Nikamjibu vya kumjibu akanielewa. Kwakuwa sababu ya tatizo ilikuwa yeye, siku ya nne akaniambia ngoja afanyie kazi niliyomwambia. Mpaka leo ni wangu bila chenga na tunaenjoy.
Naam ni kweli

Hongera sana mkuu, popote pale ulipo endelea kuvinjari uumbaji wa Mungu uliotukuka

Na kama yuko karibu mtie kimoja kwa ajili yangu
 
Mtu akisha kuvuruga roho ya huruma inatoka wapi lijitu unalipenda unalisaidia linapokuwa na shida linakufanyia vitimbi ukiamua kukaa pemben linarudi eti nimekukumbuka sana
Nikulikalia kimya unaliangalia linavyoweweseka na vimeseji vyake
Kweli mkuušŸ”Ø
 
Alini bloku nikajua na nikakubali bila stress kuwa safar imefika mwisho ,nikadelete kila kitu.
Baada ya siku moja akanitafuta anadai simu moja imeibiwa moja imeharibika.
Nikacheka sana kimya kimya nikamwambia pole kwa utulivu kama ninavyofanyaga kwenye kila uongo anaonipaga akidhan kichwan namilik dafu.
Hapa sijui kilichomfanya anibuloki na wala sijui kikichomfanya arudi.
Right here playing a fool to fool the fool.
Safi

Beating her/him in his/her own goddamn game!!

Keep the game alive boss
 
Ni kweli kabisa

Pa kuponea ni awe muelew tu

hahaha hatari aisee, nakumbuka huyo manzi tulipanga jmosi nikamjegeje hapo ilikuwa j4, aisee wiki yote nilikuwa nawaza nitakavombinua, hiyo siku imefika ubooo haujasimama kabisa yaani hata kamoko sikupiga, bahati yule binti alikuwa amenielewa tu akawa ananambia itakuwa umechoka sana wewe, yaani alikuwa akinipa maneno ya kunipa matumaini flani nisijihisi vibaya, hakutamka hata neno moja la kunikejeli, lucky me jumamosi iliyofuata akanitxt kesho jpili upo home nataka nije nikuone nimekumis, hapo sasa ilibidi nitulize wenge nimtembezee mjegejo unaoeleweka
 
Hatari hii mkuu
 
Back
Top Bottom