Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Kuna manzi nilimuelewa mno ikafika ck nikamuuliza inakuaje mbona umekua hata kunitafuta shida au km una mtu sema tu niwe wazi akasema yamekua hayo... Nikamwambia ndio sasa ck moja nipo fb nilitaka nmtumie ujumbe nikawa simwoni ndio nikagundua kanipa block. Nikamtafta kwa namba nyingine nikatext akajibu ww nani nikamwambia ndio umenipa block? Akasema sitaki usumbufu iliniuma mno.Ila nachochua kwa mtu unaempenda au anayekupenda hawezi kublock lkn ukiona umeblockiwa ujue hapo hakuna upendo.
 
Pole mkuu

Ila bloku inauma sana🤣
 
Waungwana shida ziko palepale!
Twendeni kwenye mada

Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana changamoto zake.

Sasa hapa tunajadili kama uliwahi kuchezea blocki toka kwa mpenzi wako iwe ktk Harakati za kutongoza au wakati wowote ule

Nitaanza na ushuhuda wangu

Binafsi nina bahati sana kwenye mahusiano sijawahi kuchezea bloku ila niliwahi omba bloku kwa mtoto wa kile mmoja hivi

Huyo binti nilikuwa nae chuoni nilitokea kumpenda sana sana sana, nikamtongoza karibia wiki mbili ikawa kama hanielewi

Ktk wiki zote hizo pilika pilika zilikua nyingi sana maana hakuwa ananikataa mazima wala kunikubali

Sasa ktk kupima usiku mmoja nilimuomba kama hanitaki basi anibloku, ila kuamka kesho yake kupiga simu inaita

Ikawa bado haeleweki nikaomba sana anibloku hatimae nilichokitaka nilikipata 😂

Nilikula bloku partial yani kanibloku normal ila whatsapp alikuwa online

Baada ya siku mbili nikaona siwezi maisha yale nikapiga simu Whatsapp call nikamuomba aniondolee hizo sanctions haraka, binti alinipenda na akaondoa lakini kusema ukweli ilichukua masaa 8 ya negotiation kuondoa vikwazo hivyo ila aliviondoa na baada ya siku 4 alikubali officially!

Mbali na tukio hilo sikuwahi kublokiwa wala kumbloku mtu tena

Vipi kwako ilikuaje? Ulijisikiaje? Baada ya bloku hiyo ulitumia njia gani kuiondoa au ulipotezea?

Karibuni sana

Bandiko hili ni kwa hisani ya Mzee wa kupambania
Mkuu ulipambana kweli hukukata tamaa , kipande kilichonifurahisha ni kile umeomba block alafu ukaomba vikwazo vitolewe baada ya kushinda yaani hapo ni sawa na kuomba vita alafu ukapigwa tukio ukakubali mwenyewe yaishe
 
Back
Top Bottom