Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Ungemtumia tu msj ataisoma kwenye sms blacklisted
Dah acha tu. Naona nikimssumbua atachukua credit..niliamua kukaa kimya. Ukimya wangu naona kama Nina asilimia za ushindi, japo nahisi najiliwaza tu. Ingawa bahati mby mshua wake mashine haiwaki najua lazima atatafuta wa kumkunakuna japo anapenda kudanga kiaina. Sio ishu lkn anataka kusolve vyote kukunwa na kudanga.

Sittegemei kurejeana nae Tena hata akitaka Kwa sababu nshaanza kumhisi uchafu. Kinyaa
 
ledada kwenye post yake alizungumzia long distance kuwa chanzo cha kupigana block na aliyekuwa mpenzi wake

Long distance ni hatari kwa ustawi wa mahusiano.

Katika visa vingi haijawahi kuwaacha wapendanao salama.
Kabisa mkuu

Binafsi long distance imeua mahusiano yangu kadhaa, sio rafiki kabisa
 
Back
Top Bottom