Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Ni kweli kabisa

Pa kuponea ni awe muelew tu
Ama mtu qkupende tu. Nimewahi kuharibu sehemu zaidi ya mara tatu za mwanzo hadi nikaulizwa "Z ulizaliwa na matatizo Ama yamekupqtq ukubwani?" Nikamjibu vya kumjibu akanielewa. Kwakuwa sababu ya tatizo ilikuwa yeye, siku ya nne akaniambia ngoja afanyie kazi niliyomwambia. Mpaka leo ni wangu bila chenga na tunaenjoy.
 
Mtu akisha kuvuruga roho ya huruma inatoka wapi lijitu unalipenda unalisaidia linapokuwa na shida linakufanyia vitimbi ukiamua kukaa pemben linarudi eti nimekukumbuka sana
Nikulikalia kimya unaliangalia linavyoweweseka na vimeseji vyake
Kwei kuna mivurugo mingine hata roho ya kusamehe inatoweka kabisa. Kama mtu anakucheat na unajua na umekuwa ukimsaidia hii kitu ni ngumu sana

Ndo maana wengine wanablock kabisa ili wasipatwe na roho ya huruma wengine hawablock wanapotezea wanamove on
 
Kwei kuna mivurugo mingine hata roho ya kusamehe inatoweka kabisa. Kama mtu anakucheat na unajua na umekuwa ukimsaidia hii kitu ni ngumu sana

Ndo maana wengine wanablock ka=isa ili wasipatwe na roho ya huruma wengine hawablock wanapotezea wanamove on
Si bora acheat kwa aman anakuvuraga kabisa akili na maisha yako kuna watu wana mioyo ya unyama
 
Nilichezea block baada ya yeye kwenda kusuka saloon iliyo karbu na makazi yangu sasa sijui aliambiwa nini ??

Nikasema ngoja nipambanie nili pambana lkn ile sumu aliyolishwa sijui ilikuaje nikaamua nimtazame tu mana nilikubali yote nilikaa kimya mpk akaja kunitafut mwenyewe hadi leo sitaki kujuana na wadada wa masaloon yani sina hamu nao.
umenkumbusha mpenzi wangu alikuja saloon jiran na makazi yangu kwa siri uko kaweka wallpaper picha yangu uzuri hakukipata alichokitaka na mrejesho nilipewa pande zote mbili
 
Alini bloku nikajua na nikakubali bila stress kuwa safar imefika mwisho ,nikadelete kila kitu.
Baada ya siku moja akanitafuta anadai simu moja imeibiwa moja imeharibika.
Nikacheka sana kimya kimya nikamwambia pole kwa utulivu kama ninavyofanyaga kwenye kila uongo anaonipaga akidhan kichwan namilik dafu.
Hapa sijui kilichomfanya anibuloki na wala sijui kikichomfanya arudi.
Right here playing a fool to fool the fool.
 
Back
Top Bottom