Umewahi kufanya prank gani?

Mkuu hizi prank zako zinaumiza watu.
 
Ilikuwa 1st April. Nikadanganya home nimeteleza chuoni/ hostel kwa tiles. Nimeanguka, natoka damu puani.

Mama akachanganyikiwa 😂
Pesa zikatumwa..
Nilivyorudi likizo nikamwambia ukweli. Tokea hapo nikisema naumwa anataka uthibitisho wa Dr
Hii siyo prank, ni mchezo hatari.
 
Mi nilifanyiwa hii, Rafiki wa demu wng jrn na kwao ulitokea mcba na mbaya zaid aliyefrki tulifanan majina fasta akampigia rafk yake kumuambia bwna wko amefrk. Bibie unaambiwa breki ya Kwanza gto sa 4 hyo ucku baada ya kunipgia bila majibu balaaa linakuja na mm gto cpo cm getoni na iko silent, ilikuwa sio poa. Bibie pga sna cm haaipokelewi ikabidi awapgie ndgu zangu unambiwa mi nilipo huko cna hili Wala lile nimalize lilonipeleka nirudi nikalale Nafika gto mida ya 7 kosro nakuta baadhi ya ndgu wakiwa majonzi
 
Duh sio poa watu walijua umesharudisha viza

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…