Umewahi kufanya prank gani?

Umewahi kufanya prank gani?

Kuna Ex wangu mwingine nilimtext na namba ngeni aje Hotel flani nina project inahitaji wanawake kwahiyo aje tuzungumze nimpe kazi àtalipwa

Nilimwambia akifika aagize msosi ale ili asiwe bored nipo hotel hiyo hiyo kwenye conference room kuna kikao so nikitoka nitamkuta

Alifika na akaagiza kweli msosi na akaweka status kuringishia watu full kujisnap anapost tu,hapo mimi nipo ghetto sipo kwenye kikao wala nini

sijui nini kiliendelea maana nilimblock nikawasha Pc na kucheza game
Mkuu hizi prank zako zinaumiza watu.
 
Ilikuwa 1st April. Nikadanganya home nimeteleza chuoni/ hostel kwa tiles. Nimeanguka, natoka damu puani.

Mama akachanganyikiwa 😂
Pesa zikatumwa..
Nilivyorudi likizo nikamwambia ukweli. Tokea hapo nikisema naumwa anataka uthibitisho wa Dr
Hii siyo prank, ni mchezo hatari.
 
Mi nilifanyiwa hii, Rafiki wa demu wng jrn na kwao ulitokea mcba na mbaya zaid aliyefrki tulifanan majina fasta akampigia rafk yake kumuambia bwna wko amefrk. Bibie unaambiwa breki ya Kwanza gto sa 4 hyo ucku baada ya kunipgia bila majibu balaaa linakuja na mm gto cpo cm getoni na iko silent, ilikuwa sio poa. Bibie pga sna cm haaipokelewi ikabidi awapgie ndgu zangu unambiwa mi nilipo huko cna hili Wala lile nimalize lilonipeleka nirudi nikalale Nafika gto mida ya 7 kosro nakuta baadhi ya ndgu wakiwa majonzi
 
Duh sio poa watu walijua umesharudisha viza

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom