Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

Gidamarirda

Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
37
Reaction score
92
Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba?

Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
 
Kitalamu inatakiwa ifanyike mwez mmoja baada ya kubeba ujauzito au baada ya miez mitatu
 
Ultra Sound inakazi e mpaka 4
1.Kujua umri wa Mimba
2.Kujua jinsia ya Mtoto
3.Kujua idadi ya watoto(mapacha wawili,watatu,wanne n.k)
4.Ngoja waje wataalam
 
Kitalamu inatakiwa ifanyike mwez mmoja baada ya kubeba ujauzito au baada ya miez mitatu
kuanzia wiki nne za kwanza za ujauzito (1 Month), unaweza kufanya kipimo cha Ultrasound na kuona kijusi (Embryo). si lazima kusubiri miezi mitatu.
 
Back
Top Bottom