Gidamarirda Member Joined Jul 28, 2022 Posts 37 Reaction score 92 Oct 10, 2022 #1 Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
longola Senior Member Joined Oct 15, 2015 Posts 106 Reaction score 254 Oct 10, 2022 #2 Kitalamu inatakiwa ifanyike mwez mmoja baada ya kubeba ujauzito au baada ya miez mitatu
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,705 Reaction score 4,217 Oct 10, 2022 #3 Ultra Sound inakazi e mpaka 4 1.Kujua umri wa Mimba 2.Kujua jinsia ya Mtoto 3.Kujua idadi ya watoto(mapacha wawili,watatu,wanne n.k) 4.Ngoja waje wataalam
Ultra Sound inakazi e mpaka 4 1.Kujua umri wa Mimba 2.Kujua jinsia ya Mtoto 3.Kujua idadi ya watoto(mapacha wawili,watatu,wanne n.k) 4.Ngoja waje wataalam
Gidamarirda Member Joined Jul 28, 2022 Posts 37 Reaction score 92 Oct 10, 2022 Thread starter #4 longola said: Kitalamu inatakiwa ifanyike mwez mmoja baada ya kubeba ujauzito au baada ya miez mitatu Click to expand... kuanzia wiki nne za kwanza za ujauzito (1 Month), unaweza kufanya kipimo cha Ultrasound na kuona kijusi (Embryo). si lazima kusubiri miezi mitatu.
longola said: Kitalamu inatakiwa ifanyike mwez mmoja baada ya kubeba ujauzito au baada ya miez mitatu Click to expand... kuanzia wiki nne za kwanza za ujauzito (1 Month), unaweza kufanya kipimo cha Ultrasound na kuona kijusi (Embryo). si lazima kusubiri miezi mitatu.
huku kwetu Senior Member Joined Sep 7, 2016 Posts 146 Reaction score 195 Oct 10, 2022 #5 Kwann kichwa cha mtoto huonekana kikubwa au ndo kinavyokuwaga