Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana πππNakumbuka nimefauri kwenda form One,enzi izo tnavaa makaptura polyester gly,basi mzee akanipa pesa nikanunue kitambaa cha kaptura .Tukaenda tulikuwa wanafunzi kama watano wote tulifauru kutoka shule Moja.Nimerudi direct kwa fundi hakuwa mbali sana na nyumbani,kanipima Kila kitu akasema baada ya sk nne zitakuwa tayar.Mie Sasa mchchto kibao katika chezacheza pitapita nachungulia kwambali naona anaendelea na kazi nikawa nashtuka mbona kaptura anayoshona ni ndogo au ya mwingine.Nikajipa moyo nikajisemea labda wasiwasi wangu tu.Siku ikafika nikaenda kujaribu nyumbani aisee ni skin tight, zinanibana sana.Nikaridisha kwa fundi huku machozi yananilengalenga .Hairekebishiki hakuna hata kipande cha kuongeza.Kibaya zaidi kabla sijanunua yy ndoalinipima na akasuggest kitanbaa cha 2.5m.Mzuka wote wakureport shule ukaisha kabisa.Kilichosaidia Kuna mwwnzetu mmoja yy alikuwa hajashonesha Bado,nikampa zangu akafit zikakubali akanirudishia pesa .Nilitaka pensi nyanya lenye kufika magoti pia aweke Malinda,ingawa kwa Sasa neno Malinda ni balaaa
Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu
Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda siku 2 kabla ya uchumba, yoooh nimefika pale kuchukua nguo fundi ananiuliza ulileta kitambaa cha aina gani?
Heeeeeeee Jaman nilitamani kuzimia, nilimwangalia kama vile nimnyongeeeee, niliongea mpaka machozi yakanitoka mwenzenu. Nilikaa hapohapo kitambaa kikaanza kutafutwa kwenye manguo huko ndani ndio aanze kushona huku nasubiria, nguo ilikamilika saa 4 usiku aisee kuanzia saa 9 mchana
Kuna mwingine nilimpa Kitenge ashone koti, siku naenda kuchukua nakuta natoa Gauni, nikagundua Mafundi watakuwa sababu ya miye kwenda Jela aiseeee
Kuanzia hapo mzuka na Nguo za kushona uliisha, mimi na nguo za dukani mpaka Yesu arudi
Safi sana ndo inavotakiwa hv mtu akijifanya kizibo wee zibyka kmmninaEnzi hizo nipo kwenye ubora wangu, mechi haichezwi mpaka niwepo, tuna game saa 10, jana yake mazoezini kiatu kikazingua kidogo, asubuhi nikadamkia kwa fundi,
Mimi "fundi eeh, kiatu kinahitajika saa 9, si unajua leo ndio nusu fainali yetu"
Fundi" hapo 1000 tu, saa 7,8 njoo uchukue."
Nikampa buku 2 chenji hana, nikamwambia sio kesi, tufanye yote hiyo yake..
Saa 9 tupo kambini namtuma mtu akachukue kiatu, hajamkuta fundi, naenda mwenyewe fundi hayupo, jamaa wa pale wananijua, wakanipa ruksa ya kupekua, nakuta kiatu hakijashonwa..
Sipendi kumuwazia mtu mabaya, japo tayari nishaumuka, nikajisemea huenda kapata dharura kubwa.
Rudi kambini, tafuta sana kiatu cha kuazima, mie navaa 10.5 ama 11.. Tafuta saana, ikabidi apigiwe mtu simu alete toka karume.. Tukaingia gahara ya kununua kiatu kipya.
Yule kumer saa 5 usiku analeta viatu huku anafoka, nimeenda ofisini kwake nimemuharibia, kumsogelea ana kaharufu kapombe, namuelekeza kuwa nilifanya vile kwa sababu hivi na hivi haelewi yupo juu, namuuliza mbona hukufanya kama nilivyokuelekeza na badala ya buku nilikupa buku 2, mie nahangaikia viatu kumbe umeenda kwenye ulabu, akanijibu nisimpamgie...
Aisee kilinitoka kibao kimoja maridadi, nikapiga kelebu saafi kabisa, kuninuka nikamjaza na ndoo, hajakaa sawa nikalima mtama, kisha nikachukua fimbo ilikuwepo maeneo yale charaza sana, wati wakaja kuamua yakaisha..
Asubuhi polisi hawa hapa, kutizama namuona fundi na maaskari, fundi kavimba uso, alama za mikwaju kibao.
Tukaenda kituoni, kufika tunamkuta mkuu wa kituo, ambae ni number 1 fan wangu kwenye suala zima la kudananda soka.
Afande "Makaveli vipi tena kijana wangu,
Mimi. :sifahamu mkuu, nimeletwa na polisi, kwamba fundi kanisihtaki.
Akaniuliza ilikuwaje, nikamuelezea vizuri tu,
Jamaa akaulizwa ayasemayo makaveli yana ukweli, akajibu ndio yupo sahihi, akaambiwa umekosea wewe, na mimi kosa langu ni kushambulia, jamaa akakiri akasema yeye anataka elfu 30 tu kwenda jitibia, nikakubali ila pale sijabeba hela wala simu sijachukua, twende home nikampe, fundi akagoma, akiogopa ya jana yake, mkuu wa kituo akatoa elfu 10 pale, jamaa akasema hiyo inatosha.
Akaondoka zake, nikabaki na mkuu wa kituo, tukiongea na kunipongeza kwa kiwango kizuri cha jana, akaniambia alipanga kuwa atanipa zawadi yangu na ilikuwa ni 30, sasa pale kaishatoa 10, basi ananipa 20, akanipa 20.
Akaniahidi fainali ikiwa fresh kwa kiwango kile basi kuna 50 yangu, fainali ikawa nyepesi zaidi kuliko nusu fainali, nikajaga kupata 50 yangu.
Yule fundi ikawa heshima na adabu.
Yule mkuu wa kituo alihamishwaga pale, na nikapata taarifa za umauti wake, apumzike kwa amani.
Kuzurumiwa surualiNimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu
Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda siku 2 kabla ya uchumba, yoooh nimefika pale kuchukua nguo fundi ananiuliza ulileta kitambaa cha aina gani?
Heeeeeeee Jaman nilitamani kuzimia, nilimwangalia kama vile nimnyongeeeee, niliongea mpaka machozi yakanitoka mwenzenu. Nilikaa hapohapo kitambaa kikaanza kutafutwa kwenye manguo huko ndani ndio aanze kushona huku nasubiria, nguo ilikamilika saa 4 usiku aisee kuanzia saa 9 mchana
Kuna mwingine nilimpa Kitenge ashone koti, siku naenda kuchukua nakuta natoa Gauni, nikagundua Mafundi watakuwa sababu ya miye kwenda Jela aiseeee
Kuanzia hapo mzuka na Nguo za kushona uliisha, mimi na nguo za dukani mpaka Yesu arudi
Naona ukaamua iwe Ubaya UbwelaππNilipeleka vitambaa viwili Kwa fundi nikalipa Hela kabisa mwisho wa siku nikaamua kuchukua vitambaa vyangu Hela hakunipa nilimfanyia Dua takatifu ya dafaalbalaaa hatimae wateja hana wamekimbia
ππππππππ wanafanya hata wale ambao wako vizuri tuwaone nao ni matapeli aiseeeKakakakeki mimi kuna nguo toka 2022 iko kwa fundi bonge la suruali sikuyaka marinda kitambaa matata cha mtumba Daah nawaona kama mbwa nikisikia tu mtu fundi nguo hata kufahamiana nae sitaki
Asante MkuuPole sana kwa yote yaliyokukuta.
Sasa uliichukua ukaenda kuivaa, uligawa au uliitupa? πππMie pia si mvaaji sana wa nguo za kushona kwa mafundi wetu hawa, basi siku hiyo nikashawishiwaaa nikaona poa, nikabeba kitenge kwa fundi nikampa mshono rahisi kweli kweli maana sivai nguo fupi, siku nafika kuchukua nguo nakuta kitukooo,nilichukia na hivi nina kigugumizi hata kuongea nilishindwa, nikamlipa na nguo nikamuachia kenge yule...!
Nimecheka kama mazuri kumbe ni hasira tuHuyu fundi hapa kibarazani akinishonea nguo lazima niirudishe zaidi ya mara nne kurekebisha. Nyingine napata hasira naisunda hukooo wala siivai au naigawa
Kabisaaaa Mkuu maana niliiwaza siku yangu na sikuwa na mbadala wa Nguo nyingine ya kuvaaπππππ Uliongea huku unalia
Ni mtulivu kweli mpaka pale Mtu anaponipima kiwango cha Uvumilivu π π π π πMiss zomboko unaonekana umetulia sana
Mwanangu hujambo ? Bado unaendelea kucheza mpira ?Enzi hizo nipo kwenye ubora wangu, mechi haichezwi mpaka niwepo, tuna game saa 10, jana yake mazoezini kiatu kikazingua kidogo, asubuhi nikadamkia kwa fundi,
Mimi "fundi eeh, kiatu kinahitajika saa 9, si unajua leo ndio nusu fainali yetu"
Fundi" hapo 1000 tu, saa 7,8 njoo uchukue."
Nikampa buku 2 chenji hana, nikamwambia sio kesi, tufanye yote hiyo yake..
Saa 9 tupo kambini namtuma mtu akachukue kiatu, hajamkuta fundi, naenda mwenyewe fundi hayupo, jamaa wa pale wananijua, wakanipa ruksa ya kupekua, nakuta kiatu hakijashonwa..
Sipendi kumuwazia mtu mabaya, japo tayari nishaumuka, nikajisemea huenda kapata dharura kubwa.
Rudi kambini, tafuta sana kiatu cha kuazima, mie navaa 10.5 ama 11.. Tafuta saana, ikabidi apigiwe mtu simu alete toka karume.. Tukaingia gahara ya kununua kiatu kipya.
Yule kumer saa 5 usiku analeta viatu huku anafoka, nimeenda ofisini kwake nimemuharibia, kumsogelea ana kaharufu kapombe, namuelekeza kuwa nilifanya vile kwa sababu hivi na hivi haelewi yupo juu, namuuliza mbona hukufanya kama nilivyokuelekeza na badala ya buku nilikupa buku 2, mie nahangaikia viatu kumbe umeenda kwenye ulabu, akanijibu nisimpamgie...
Aisee kilinitoka kibao kimoja maridadi, nikapiga kelebu saafi kabisa, kuninuka nikamjaza na ndoo, hajakaa sawa nikalima mtama, kisha nikachukua fimbo ilikuwepo maeneo yale charaza sana, wati wakaja kuamua yakaisha..
Asubuhi polisi hawa hapa, kutizama namuona fundi na maaskari, fundi kavimba uso, alama za mikwaju kibao.
Tukaenda kituoni, kufika tunamkuta mkuu wa kituo, ambae ni number 1 fan wangu kwenye suala zima la kudananda soka.
Afande "Makaveli vipi tena kijana wangu,
Mimi. :sifahamu mkuu, nimeletwa na polisi, kwamba fundi kanisihtaki.
Akaniuliza ilikuwaje, nikamuelezea vizuri tu,
Jamaa akaulizwa ayasemayo makaveli yana ukweli, akajibu ndio yupo sahihi, akaambiwa umekosea wewe, na mimi kosa langu ni kushambulia, jamaa akakiri akasema yeye anataka elfu 30 tu kwenda jitibia, nikakubali ila pale sijabeba hela wala simu sijachukua, twende home nikampe, fundi akagoma, akiogopa ya jana yake, mkuu wa kituo akatoa elfu 10 pale, jamaa akasema hiyo inatosha.
Akaondoka zake, nikabaki na mkuu wa kituo, tukiongea na kunipongeza kwa kiwango kizuri cha jana, akaniambia alipanga kuwa atanipa zawadi yangu na ilikuwa ni 30, sasa pale kaishatoa 10, basi ananipa 20, akanipa 20.
Akaniahidi fainali ikiwa fresh kwa kiwango kile basi kuna 50 yangu, fainali ikawa nyepesi zaidi kuliko nusu fainali, nikajaga kupata 50 yangu.
Yule fundi ikawa heshima na adabu.
Yule mkuu wa kituo alihamishwaga pale, na nikapata taarifa za umauti wake, apumzike kwa amani.
Ndio maana wanasemaga fundi wa kweli ni kinyozi tu.Enzi hizo nipo kwenye ubora wangu, mechi haichezwi mpaka niwepo, tuna game saa 10, jana yake mazoezini kiatu kikazingua kidogo, asubuhi nikadamkia kwa fundi,

Walikukomeshaaaa safi kabisaKabisaaaa Mkuu maana niliiwaza siku yangu na sikuwa na mbadala wa Nguo nyingine ya kuvaa
Mimi mwamuzi wa Tanzania ila wajinga wakizingua nawalisha makonde.Wee nasemaga kila siku uwezi kuwa mwamuzi ππππππ
Ona sasa kama ingetokea mngepigana nani angewaamuliA
Mafundi ni nyoko sana. Mwaka jana nimempelekea fundi kitambaa anishonee suruali si nikakuta ameshona modo.....yaani nguo haivaliki kabisa. Nikimuuliza ananishangaa. Ilibidi nimwambie aifumue ashone upya lakini bado haikufaa chochote. Bora tu niendelee kuvaa mitumba iliyoboreshwa.Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu