Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

Niliacha nguo za kushonesha kwa msambaa yule mungu ampe la kumpa nilinunua kitambaa nishoneshe suruali ya kugradu kama wk na nusu b4 nikamlipa kila kitu sikupatana at the end siku moja kabla naenda hay upo nilimwambia mfanyakaz wake sitorudi tena na sitimsamehe milele
 
 
Me na matukio kama 3 na hawa wasenge.
1. Nipo mishe zangu nikaona bukta nikaipenda ila haikuwa na mifuko nikasema Ally atairekebisha maana inafaa kushindia nikiwa home. Ilikua j5 saa 1 jion nilivopeleka akasema utakuja uchukue kesho, nikamwambia kesho tachelewa sana kwahyo takuja ijumaa saa 2 usiku maana anafunga saa 4 usiku.

Nilivoenda hiyo siku hajashona Kabisa akanambia kesho(jmosi) mapema tu.. nilivoenda jmos usiku hola !!
Nikamwambia acha masihara kesho jpil asubui nakuja kuchukua, kesho naenda hajashona!!

Nikamwambia nipe hiyo nguo nimeghairi kushona, akanipa japo tunaheshimiana kutokana na hasira nikamwambia utakuja kufirwa nipe ela akakipa nikasepa.

2. Fundi mwingine karibu na hom tu nikampa shati saa 5 asubui arekebishe kitu kidogo tu cha dakika 3 akasema utakuja kuchukua baada ya nusu saa ila mimi nikaenda saa 11 jion nakuta anamshonea mtu mwingine shati la shule, nikamuuliza me nimekupa nguo toka sa 5 asubui haujashona huyu kaleta saiv una mshonea hizi si dharau? Akasema nakushonea nikasusa nikachukua nguo nikaondoka.

3.nilinunua suruari 30k mpya nikapeleka airekebishe kidogo navohitaji, naenda nakuta kashona utopolo na kaiharibu wakati nilimpa suruali nyingine nikamwambia ashone iwe kama hii nyingine, naenda ananipa surual ya mtumba anasema nilioeleka hiyo!! Nilimfanyia vurugu pale nikatupa manguo huko,nikasukuma chereani yaani ilikua vita ndogo watu wakamuokoa yule msenge.. nikafkiria nikasema atanipa kesi huyu Fala nikaachana nae maana naweza muumiza ikawa kesi.
 
Halafu hao mafundi kushona nguo wanapenda sana kushona "papuchi" ni zaidi ya yule jamaa wa Guinea.
Wengi wao hawana maendeleo pesa zote wanamalizia kwenye papuchi..!!

Wengi wao ni wahitimu wa PhD ya uongo.
 
Nguo ya kushonesha niliwahi kuvaa ni moja tu ambayo alinishonea mama yangu, nayo ni bukta ya shule ya msingi baada ya mama kuona nazidi kuwa mnene.

Alinitafutia kitambaa kizuri akanitolea bukta safi sana. Siku ya michezo chini nikipiga raba yangu aahhh yaani ni bonge la tozi!
 
Wiki 3 kabla ya graduation nilienda kwa fundi na mshono wa suti kali ya kike. Loooh! Asubuhi ya graduation nikiwa na makeup yangu nilikuwa ofisini kwake namsimamia amalizie nguo yangu nivae hapo hapo nakuondoka
 
Alivuta advance,na akahama mazingira ya kazi,basi,tukioonana story nyingi,Basi ikawa imetoka tu hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…