Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
IMG_8398.jpeg

Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
 
Mkoa wa Dar es Salaam ndio baba lao ila, nilikaa Kigoma ni pazuri sana tatizo wenyeji wana mambo ya kiwaki!
Wanakuloga huku wanakupa pole.

Tanga napo ni pazuri ila mzunguko wa hela ni mdogo... Kilimanjaro napo mzunguko ni mdogo... Arusha hadi usome ramani kwa muda mrefu alafu uwe na mtaji wa uhakika... Manyara napo hapaeleweki ila ukipata chimbo lako unabeba mali hadi unakinai.
 
Arusha
Kilimanjaro
Da es Salaam
Dodoma
Morogoro
Iringa
Mbeya
Njombe

Kumbukumbu za Njombe zimegoma kabisa kufutika kichwani, nilipenda mandhari ya Njombe, miaka 6 sasa imepita tangu nitoke huko

Aisee nikipata muda, njombe nitapatembelea
 
1. Kilimanjaro ni home pazuri sana.
2. Arusha ni ujuaji mwingi na unakaa kwa tahadhari muda wote beto ni anytime saa mbili ikukute nyumbani au lodge yenye usalama 😁
3. Manyara pakawaida sana mzunguko wa pesa upo shambani ila amani ipo kiasi. Tatizo kuna mafisi sana, kuliwa na fisi ni anytime ukizubaa usiku hasa nje ya mji 😁
4. Tanga ni pazuri sana kuliko sehemu zote ila tatizo ni mzunguko wa pesa hakuna kabisa.
5.Dar es salaam mitikasi ni mingi.
6.dodoma pakawaida.
7.singida pamezubaa tu
8.morogoro pazuri na pesa ipo.
9.Iringa pamepoa sana.
10. Kahama pesa ipo ila hali ya hewa chenga.
 
8.morogoro pazuri ila pesa ipo.

Morogoro pana uzuri gani jamani?
 
Hapo number 8 Kuna mtu kaniambia mbona hakuna mzunguko wa pesa ?
 
Back
Top Bottom