2Laws
Member
- Sep 4, 2022
- 37
- 38
Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia.
Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
Sasa embu fungua vijana macho kwa kutaja fursa ambazo zipo na hawazioni au wanaziona lkn wanapuuzia kwa ku comment hapa.
Kuwa sababu ya wengi kutoboa kimaisha.
Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
- Kupika kwa oda
- Urembo( kusuka, make up na kucha)
- Kuuza juice na ice cream
- Kilimo cha mbogamboga
- Ufugaji hasa kuku
- Kupiga picha
- Kuunda tovuti/websites
- Kupanga sherehe/matukio
- Kutembeza watalii
- Kufundisha/tuition
- Kushona
- Ufundi wa vifaa vya umeme kama simu, kompyuta nk
- Kinyozi
- Kununua na kuuza bidhaa na vocha
- Kukuza miti ya maua
- Kufanya usafi majumbani/ maofisini
- Kufuga samaki
- Kocha wa mazoezi na gym
Sasa embu fungua vijana macho kwa kutaja fursa ambazo zipo na hawazioni au wanaziona lkn wanapuuzia kwa ku comment hapa.
Kuwa sababu ya wengi kutoboa kimaisha.