Umewahi kufikiri kujiajiri hapa bongo na ukakosa jibu la nini ufanye?

2Laws

Member
Joined
Sep 4, 2022
Posts
37
Reaction score
38
Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia.

Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
  1. Kupika kwa oda
  2. Urembo( kusuka, make up na kucha)
  3. Kuuza juice na ice cream
  4. Kilimo cha mbogamboga
  5. Ufugaji hasa kuku
  6. Kupiga picha
  7. Kuunda tovuti/websites
  8. Kupanga sherehe/matukio
  9. Kutembeza watalii
  10. Kufundisha/tuition
  11. Kushona
  12. Ufundi wa vifaa vya umeme kama simu, kompyuta nk
  13. Kinyozi
  14. Kununua na kuuza bidhaa na vocha
  15. Kukuza miti ya maua
  16. Kufanya usafi majumbani/ maofisini
  17. Kufuga samaki
  18. Kocha wa mazoezi na gym
Mimi bado naona kuna fursa watu hawazioni hapa kama zile za kufuga mende wanaoliwa ambapo tuliona kuna mtu anasafirisha mpaka nje ya nchi na anapata mamilioni ya pesa, wanaolima uyoga wa chakula nk.

Sasa embu fungua vijana macho kwa kutaja fursa ambazo zipo na hawazioni au wanaziona lkn wanapuuzia kwa ku comment hapa.

Kuwa sababu ya wengi kutoboa kimaisha.
 
Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia. Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
Kupiga picha inataka uwekezaji mkubwa wa pesa na muda...la sivyo utaishia kupiga picha za bukubuku.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ulivyotaja picha za bukubuku umenikumbusha mbali sana enzi hizo wapiga picha wanavizia siku za sikukuu watu wanaulamba kisha mpiga picha anatembea uswazi mtaa kwa mtaa kutupiga picha halafu tunasubiria baada ya wiki 2 au mwezi ndio picha zinaletwa muda huo tumeshalipa advance payment jero kisha akileta picha tunamalizia jero iliyobaki
 
Kweli sana lakini sio lazima uanze kwa kuruka juu, utasimama kwanza, tembea kimbia kisha ruka namaanisha unaweza kuanza na picha za bukubuku na baadae utakua na studio na unachukua order za matukio na mashereh, isitoshe sasa kuna mashindano ya kampun mojawapo ni canon ya picha bora zaid na kuna kiasi cha madola kama zawad huwez pata kama hujawah kupiga picha
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ulivyotaja picha za bukubuku umenikumbusha mbali sana enzi hizo wapiga picha wanavizia siku za sikukuu watu wanaulamba kisha mpiga picha anatembea uswazi mtaa kwa mtaa kutupiga picha halafu tunasubiria baada ya wiki 2 au mwezi ndio picha zinaletwa muda huo tumeshalipa advance payment jero kisha akileta picha tunamalizia jero iliyobaki
Mimi a nilishuhudia jamaa akinunua pikipiki kwa hizo picha za jero unatanguliza jero picha ikishasafishwa, sio kama bure jaman kuna vijana wengi sana mtaani na hawajui nn wanafanya.
 
Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia.

Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
  1. Kupika kwa oda
  2. Urembo( kusuka, make up na kucha)
  3. Kuuza juice na ice cream
  4. Kilimo cha mbogamboga
  5. Ufugaji hasa kuku
  6. Kupiga picha
  7. Kuunda tovuti/websites
  8. Kupanga sherehe/matukio
  9. Kutembeza watalii
  10. Kufundisha/tuition
  11. Kushona
  12. Ufundi wa vifaa vya umeme kama simu, kompyuta nk
  13. Kinyozi
  14. Kununua na kuuza bidhaa na vocha
  15. Kukuza miti ya maua
  16. Kufanya usafi majumbani/ maofisini
  17. Kufuga samaki
  18. Kocha wa mazoezi na gym
Mimi bado naona kuna fursa watu hawazioni hapa kama zile za kufuga mende wanaoliwa ambapo tuliona kuna mtu anasafirisha mpaka nje ya nchi na anapata mamilioni ya pesa, wanaolima uyoga wa chakula nk.

Sasa embu fungua vijana macho kwa kutaja fursa ambazo zipo na hawazioni au wanaziona lkn wanapuuzia kwa ku comment hapa.

Kuwa sababu ya wengi kutoboa kimaisha.
Nakuahidi mtoa mada watu wengi watakuja na sababu kibao kwa nini haiwezekani.
 
Naelewa ni kweli lakin wacha tu waseme ni muhimu pia kwani itasaidia kujua changamoto ili tujipange namna ya kukabiliananazo mapema. Naamin hiv vitu ambavo yunafaa kufikiria sana kuanza ni vile ambavyo bado akuna aliyefanya akafanikiwa kwasababu hatuvijui sawasawa lakin hv vyote kuna watu vimewatoa tayari
 
Biashara ya saloon ya kiume never disappoint uzuri wa hii biashara unaweza anza na mtaji mdogo tu .
Shida ni vinyozi kuhamahama, mtu anazoeleka kwa wateja na wanamkubali kwa namna anayowapatia mitindo yao, kisha baada ya miezi miwili kinyozi hayupo, wateja huwa tunakuwa dissapoited sana

.
 
Naelewa ni kweli lakin wacha tu waseme ni muhimu pia kwani itasaidia kujua changamoto ili tujipange namna ya kukabiliananazo mapema. Naamin hiv vitu ambavo yunafaa kufikiria sana kuanza ni vile ambavyo bado akuna aliyefanya akafanikiwa kwasababu hatuvijui sawasawa lakin hv vyote kuna watu vimewatoa tayari
Nakubaliana na wewe mkuu, ila ni muhimu pia kuwa self-liberation ili iwezekane kuziona fursa na kuzifanyia kazi.
 
Shida ni vinyozi kuhamahama, mtu anazoeleka kwa wateja na wanamkubali kwa namna anayowapatia mitindo yao, kisha baada ya miezi miwili kinyozi hayupo, wateja huwa tunakuwa dissapoited sana

.
UNalosema kweli kabisa ndugu
 
Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia.

Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
  1. Kupika kwa oda
  2. Urembo( kusuka, make up na kucha)
  3. Kuuza juice na ice cream
  4. Kilimo cha mbogamboga
  5. Ufugaji hasa kuku
  6. Kupiga picha
  7. Kuunda tovuti/websites
  8. Kupanga sherehe/matukio
  9. Kutembeza watalii
  10. Kufundisha/tuition
  11. Kushona
  12. Ufundi wa vifaa vya umeme kama simu, kompyuta nk
  13. Kinyozi
  14. Kununua na kuuza bidhaa na vocha
  15. Kukuza miti ya maua
  16. Kufanya usafi majumbani/ maofisini
  17. Kufuga samaki
  18. Kocha wa mazoezi na gym
Mimi bado naona kuna fursa watu hawazioni hapa kama zile za kufuga mende wanaoliwa ambapo tuliona kuna mtu anasafirisha mpaka nje ya nchi na anapata mamilioni ya pesa, wanaolima uyoga wa chakula nk.

Sasa embu fungua vijana macho kwa kutaja fursa ambazo zipo na hawazioni au wanaziona lkn wanapuuzia kwa ku comment hapa.

Kuwa sababu ya wengi kutoboa kimaisha.
Usijidanganye ,Hamna aliyetoboa Kwa shughuli hizo za kijungujiko , never
 
Back
Top Bottom