Umewahi kuimba uongo?

Umewahi kuimba uongo?

Mademoiselle

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
704
Reaction score
2,842
Igweeeeeee

Eid Mubarak kwenu nyote. Maaake kwanza ncheke. Umewahi kujikuta unajua au unaimba wimbo flani kila mara ukihisi ndo maneno/lyrics sahihi lakini siku unakuja kuziona lyrics zenyewe unabaki kujicheka tu 😅😅😅

Mimi imeshanitokea mara nyingi sana lakini ya recently kabisa ni huu wimbo wa marioo na jovial kama sijakosea. Kwenye chorus inaimbwa "Nibebe nibebe honey nishushe mahabani..." Lakin legendary mimi siku zote busy kwa kujiamin naimba "nibebe nibebe honey nishushe mabawa..." 😣😣😣😣😣. Kuja kugundua nikajizomea kabisa.
#nimeliasanakwakweli#

Kama imekutokea basi karibu tushushe mabawa.....
 
"Kanajipitisha na hakashei namba, kana huu kana huu, kana ushamba"
 
Wimbo huu ninaupenda ajabu! Nimekuja kugundua maudhui yake na nilivyokuwa nauimba na kuufamu ni mbingu na ardhi, hata hivyo baada ya kuujua umekua bora kwangu mara nyingi.

Mama I'm sorry.
Screenshot_20240410-223004_Boomplay.jpg
 
Wimbo wa Lady Madona-Holiday
Nakumbuka miaka ya 1980's Nikiwa Charlie mdogo tukiwa DUMILA pale barabarani "Msela" mmoja pale alikuwa akiuimba wimbo huu wa Madona kama ifuatavyo....
How many day, how many day........ badala ya Holiday..Holiday
Toka hapo niliupenda sana wimbo huo na baadae nikaja kujua kumbe sio HOW MANY DAY ila ni HOLIDAY. Since that time hadi leo huwa namkumbuka Mselanondo yule.
 
Back
Top Bottom