Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Igweeeeeee
Eid Mubarak kwenu nyote. Maaake kwanza ncheke. Umewahi kujikuta unajua au unaimba wimbo flani kila mara ukihisi ndo maneno/lyrics sahihi lakini siku unakuja kuziona lyrics zenyewe unabaki kujicheka tu 😅😅😅
Mimi imeshanitokea mara nyingi sana lakini ya recently kabisa ni huu wimbo wa marioo na jovial kama sijakosea. Kwenye chorus inaimbwa "Nibebe nibebe honey nishushe mahabani..." Lakin legendary mimi siku zote busy kwa kujiamin naimba "nibebe nibebe honey nishushe mabawa..." 😣😣😣😣😣. Kuja kugundua nikajizomea kabisa.
#nimeliasanakwakweli#
Kama imekutokea basi karibu tushushe mabawa.....