Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

Santilia kipo Mbeya......infact wazungu walima interior
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?

Kijiji hicho kipo Lindi.

Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…