Hali ya UCHAWI ipoje huko MKUU?KIJIJI CHA KIKULYUNGU kipo mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale Tarafa ya mbaya kata ya mkutano.Ni Kijiji kipo takribani 70+ kutoka Liwale mjini.Ni Kijiji Cha raia maskini sana wenye shida za Kila aina.Ni Kijiji ambacho mnyama wa miguu minne hafugwi mfano huwezi kukuta mbuzi,mbwa,ng'ombe ,kondoo nk.Ni Kijiji kilichozungurukwa na mbuga ya selou Game researve.
Hicho Kijiji kipo wilaya ya Masasi.Mkalapa
Kuna msingi mbio eneo la boko karibu na cha simba.Msingi mbio Kipo kisarawe
Nimeishi vingiMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kuna tununguo MorogoroTanangozi - Iringa
Kafulia - Ileje Songwe
Kigurunyembe - Moro
Nilisoma Kindoroko pale 🤣Ndorwe kipo Mwanga Kilimanjaro
Haya majina ni balaaKuna tununguo Morogoro