Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

KIJIJI CHA KIKULYUNGU kipo mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale Tarafa ya mbaya kata ya mkutano.Ni Kijiji kipo takribani 70+ kutoka Liwale mjini.Ni Kijiji Cha raia maskini sana wenye shida za Kila aina.Ni Kijiji ambacho mnyama wa miguu minne hafugwi mfano huwezi kukuta mbuzi,mbwa,ng'ombe ,kondoo nk.Ni Kijiji kilichozungurukwa na mbuga ya selou Game researve.
Hali ya UCHAWI ipoje huko MKUU?
 
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?

Kijiji hicho kipo Lindi.

Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Nimeishi vingi
Selengoma
Zyangoma
Msishindwe
Legezamwendo
 
Chumvini _Tanga
Kumamoto _Japani
Kipumbwi _ Pangani
Kipumbwiko_ singida
Matombo_Morogoro
Usenge_ Kenya
Ngadinda_Songea
Ndele nyuma_Songea
Mbangamawe_Songea
Kitukutu_ Singida
 
Back
Top Bottom