Hali ya UCHAWI ipoje huko MKUU?KIJIJI CHA KIKULYUNGU kipo mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale Tarafa ya mbaya kata ya mkutano.Ni Kijiji kipo takribani 70+ kutoka Liwale mjini.Ni Kijiji Cha raia maskini sana wenye shida za Kila aina.Ni Kijiji ambacho mnyama wa miguu minne hafugwi mfano huwezi kukuta mbuzi,mbwa,ng'ombe ,kondoo nk.Ni Kijiji kilichozungurukwa na mbuga ya selou Game researve.