Khaa hii picha niliiona juzi jamii photosHapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
huu msosi ni wewe tu na huyo mchumba?Hapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
Ghetto raha sana aiseh... balaa inakuja kwenye kuosha vyombo tu.. mimi ilibidi ninunue masahani mengii na masufulia mengi.. nilikua nakaa week nzima bila kuosha vyombo naviweka nje tu..
Shida nyingine kama uko chuo ..ukiishiwa bando unaweza kukuta hadi chuo kimefungwa huna taarifa
vyombo noma mazeeeGhetto raha sana aiseh... balaa inakuja kwenye kuosha vyombo tu.. mimi ilibidi ninunue masahani mengii na masufulia mengi.. nilikua nakaa week nzima bila kuosha vyombo naviweka nje tu..
Shida nyingine kama uko chuo ..ukiishiwa bando unaweza kukuta hadi chuo kimefungwa huna taarifa
Yaani nikiweza kusolve hili tatizo la vyombo sidhani kama nitaona... sababu kubwa ya kuvusha gheto mimi huwa ni kuoshewa vyombo tuvyombo noma mazeee
mm nilikuwa navisahau mpaka vinaanza kutoa harufu si unajua yale maji
Sent using Jamii Forums mobile app
yes yes sema girlz siku hizi wanakaza wana taka lunch muende kwa hotelYaani nikiweza kusolve hili tatizo la vyombo sidhani kama nitaona... sababu kubwa ya kuvusha gheto mimi huwa ni kuoshewa vyombo tu
Naomba weekend mojaMaisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
Naomba weekend moja
uje mahali tushinde wote bila nguo
Mpenzi depalAfu hiyo picha uliyoweka imekaa vibaya, nikija kwako nikakuta hivyo!! Akyamama sitokuja tena labda nisikie unataka kukata roho
Jaman tuheshimiane!!!!
Dunia nzima hakuna mwanamk au dem anaeish ghetto.!!!
Demu tu akishahamia getho, Hapo sio ghetto tena bali hapo ni nyumbn.
Ghetto gan asubuh net inakunjw jion inashushw. Geto tukishusha net mpaka siku ya kufua.
Geto umeamka unaanxa kutandk kitanda...NO
ghetto eti umetoa vyombo asubuh unaanxa kuosha, hapo sio geto men. Vyombo unaosha muda wa kupika tu tena vile vinavyotumik kw muda huo tu.
Eti ghetto umeinamisha kiuno unadeki. Ghetto apo kweli!? Masela Lazima tukuhoj "oya mwana vp shemela anakuja nn"
Hizi ni baadhi ya kanuni za ghetto. Mlioish geto mtaongeza zingine.
HAKUNA DEMU ANAEISH GHETTO JAMAN MSITUUDHI TULIOISHI GHETO. Mtu anaamka Anadek, anaosh vyombo hapo sio ghetto tena ni nyumbn.
Get
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka ujinga wako huko hilo Siyo ghetto 😂😂Hapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka ujinga wako huko hilo Siyo ghetto [emoji23][emoji23]
Wewe hii picha kama walikuloga nayo 🤣Hapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni ya geto mwamba haibadilikag arif.soma comment apo juu Kuna mwamba anasema alikuwa aoshag vyombo mpaka harufu.Sasa Mkuu Ghetto Lako Kulikuwa Hakuna Kunguni Na Chawa Kweli Kwa Maelezo Haya
Sikuhizi Ma Ghetto Yanaenda Na Zama Zimebadilika Ghetto ghetto Hasaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Emu huko wewe na uchafu wako wa kuzaliwa usiforce ndio iwe lifestyle y ghettoKanuni ya geto mwamba haibadilikag arif.soma comment apo juu Kuna mwamba anasema alikuwa aoshag vyombo mpaka harufu.
Sent using Jamii Forums mobile app