Ghetto ni nini kwanza, nahisi bado naishi ghetto.
Mwanamk haishi geto hata iweje sistaa. Mwanamk akishapanga rum na kuanz maisha yake tayar hapo ni nyumbn.Wewe ghetto ni ile kuishi ndani ya room moja n mazaga yako yote. chumbani hapo hapo, sebuleni, stoo, jikoni.
Wewe una elements za uchafu
ma ghetto ya wanaume aiseeee ni noma usiombe uingie full but kila kitu shagalabagala, kuna harufu ya kila aina, ya soksi, kwapa, vyombo vichafu nk. kweli ni raha kigeto geto ila kama mnakaa wote wachafu hapana bora ukae mwenyewe tu.
Ndio, hiyo hiyo [emoji16][emoji16]Ah! Ukiwa single ndio unaishi ghetto?
Maombi ya nini tena, ajira au kujiendeleza kimasomo?
Uwez elewa. Hakuna manzi anaish getoEmu huko wewe na uchafu wako wa kuzaliwa usiforce ndio iwe lifestyle y ghetto
Picha inafanania na ile ya hazard..ila mshikaji kaipenda naona tangu Jana kaipost kwenye Uzi fulani.Hii picha hata mimi sio ngeni kwangu.
Picha inafanania na ile ya hazard..ila mshikaji kaipenda naona tangu Jana kaipost kwenye Uzi fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu ana miaka 2000 anaishi kwao hana hata wazo la kuhama. Kwa roho yake sasa ilivyo ya ajabu bado yuko kwao halafu katupa mualiko tukaishi palepale kwa baba yake pamoja nae. Huyu kijana ana roho ya kipekee sana.
Binafsi naungana na Kijana Yesu.
Falsafa zake za kutotoka home nimezikubali
Shida ni kuosha vyombo vinakaa nje kwenye sinki wiki mpaka mabaki ya chakula yanaota fungi
Ndo maana sipend kupika kwa sababu ya vyombo naishia kula cafe au kwa mama ntilie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa naona unanitukana mkuu
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
raha sana, yaani na usipopika huulizwi, mi mwenyewe kitu kimenishinda mpaka leo ni kushinda na nguo na nilikua mkoa wa baridi ila swala la kuvaa nguo gheto halipo hadi wapangaji wengine walishanizoea hivyo
Geto ni geto tu aisee,
Unakuta geto limetia,hapo kafridge,kameza ka kioo,flat 32 ukurani,homethieter imetimia,kasofa ka kitasha,
Ila sasa utakuta sofa limekaa chin ya tv kisa game,boksa zipo kwenye viti,vyombo vya juzi vipo kwenye karo,net tokea iwekwe haijawah pandishwa....net ina mlango dah
Kinachonichekeshaga ni ule ushirikiano wa usafi pale mmoja wenu anapoambiwa nmeshashuka ongea na boda boda.
Hapo wana wote kila mtu anashika chake,dak 10 geto safi linanukia airfresh matata,na wana wote washasepa
Kuna siku jamaa alifutia bao tshert ya jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app