Umewahi kuishi nyumba ambayo kila siku wanakula bufee kama kwenye sherehe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..

Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    33.1 KB · Views: 33
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..

Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
Ndio wapo mkuu,hapo umenifurahisha sana kutembelea maramojamoja sio unahamia ni Utumwa Mkuu!
 
Labda kama nyumba ni Kanisa, watu wenye hela hawaletagi watu Nyumbani hovyo
hii ni kwa sisi matajiri wa kiswahili ila kwa wale matajiri wahindi na waarabu hawanaga choyo hata wana ukoo au ndugu wa mbali mnaishi poa ndani ya nyumba..ila sie waswahili wenye pesa ndugu yako tu wa damu au mtoto wa nduguyo unawaona mzigo au unaishi nao kinafiki tu huko ndani roho imekunjika..ukichanganya na gubu la mke wanafamilia mnakuwa mahasimu kabisa.!
 
Kwahiyomatajiri wa kizungu wanachoyo?
 
Kuna siku tupo class G akaniuliza hivi njaaa inaumaje? Nikamcheki nikasema huyu wa kishua hajui njaa maana kwao ratiba ya chakula ipo jikoni na dining pale.
NIkamwambia kesho tunaan,a kufunga jaribu kidogo sawa best. Kesho yake tumefunga swaum kufika saa sita jicho nyqnya nahisi njaa nikamwambia bado tuendeleee. Kufika saa tisa akasema nimeshindwa nafungua best nikasema umeona njaa inavyouma bdugu. Mtu akija kwako akuomba msaada akisema sijala jua ndiyo hivyo abajisikua.
Nataka kusema kuna watu hawajawahi kuhisi njaa wala tàbu maisha yao yooote.
 
Hamna mtanzania mwenye tabu na maisha
 
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..

Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
ULikuwa unazamia?
 
Wakisikia watu wanalalamika maisha magumu wanajisemea... "hivi hawa wanaongea nini?" maisha yapi sasa ambayo ni magumu!?? 😂
 
Back
Top Bottom