Umewahi kuishi nyumba ambayo kila siku wanakula bufee kama kwenye sherehe

Afu huyo ni balozi tu,hii nchi pesa za walipa kodi na wahisani zinatafunwa bila huruma na majitu yasiyokuwa na tija wala faida kwa taifa.800000 x siku 30 ni milioni 24 kwenye chakula tu bado anasa zingine,kumbe huyo balozi angelipwa milioni 2 tu kwa mwezi na pesa ambayo tungeokoa ingetengeneza madawati au kuajiri walimu wengi kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kitanzania.Tuna safari ndefu sana
 
Safari ndefu kivipi mkuu
 
Sababu ya kufanya itakuwa ni Nini? Maana ya bufee ni just varieties, ukiwa na hotpot 4 tu bufee tayari, au unataka mpaka Yale mabati yanayochomwa?
Sio hotpots tu mkuu, siku hizi kuna mabakuli fulani ya kusevia chakula, bei chee.
Kwa sisi wa kuunga unga ukitandika
Kitable runner chako fresh, ukapanga mabakuli yako 6 yenye bamia la kutosha, tembele, magimbi, ndondo, kaubwabwa kidogo, pembeni unatia chachandu la kutosha.

Ishakuwa bufee 🔥😁.
 
Bufee tayari
 
Kula sana ni dalili ya umasikini wa kiakili.

Ni tabia ya watu ambao wamekulia katika jamii ambayo chakula ni adimu, sasa ndiyo wameanza kupata uwezo wa kupata chakula wanachotaka, wanalimbukia chakula.

Watu wenye generational wealth na elimu wanakula balanced diet kidogo tu, na washajua chakula kingi kinaleta matatizo katika afya.
 
Huyo balozi ni limbukeni kabisa. Kwa exposure yake hajui kuwa kula sana sio ishu kwa ulimwengu wa leo? Kutumia laki 8 kwenye chakula cha nyumbani kwa siku ni upuuzi labda kama huyo afisa manunuzi wa nyumbani anajipigia laki 7 daily.
 
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..

Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
Yaa motoooo!
 
Mchawi pesa, ila msosi unatakiwa uwe full balanced diet mazagazaga matunda, sio daily ugali dagaa ukibadili sana ni wali maharage wa buku "weka wa kushiba" if you know what I mean
Kweli mkuu tatizo jamii zetu ni Masikini sana tumezoea kula mboga moja tu na Asubuhi kitafunio kimoja kama andazi au Chapatu tu, tofauti na Jamii zingine mfano Wazungu, Waarabu na Wachina ukiona wanavyokula Meza imejaa vyakula aina tofauti tofauti.
 
7
Sio hotpots tu mkuu, siku hizi kuna mabakuli fulani ya kusevia chakula, bei chee.
Kwa sisi wa kuunga unga ukitandika
Kitable runner chako fresh, ukapanga mabakuli yako 6 yenye bamia la kutosha, tembele, magimbi, ndondo, kaubwabwa kidogo, pembeni unatia chachandu la kutosha.

Ishakuwa bufee 🔥😁.
Mkuu ni gharama inatakiwa ufanye hivyo kwenye milo mitatu kwa siku uweke na juice soda, na Bia kwenye jokofu
 
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..

Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
Hata usitamani kaka hayo ni maradhi kupata hypertension na diabetes mellitus ni kugusa tu. Nakushauri usiende kwa huyo ndugu yako kwa manufaa ya afya yako ya baadae. Bado huko huko ulipo endelea kula ketogenic diet, unywe maji mengi na ufanye mazoezi. Endelea kula ugali na mlenda.
 
Kula sana ni dalili ya umasikini wa kiakili.

Ni tabia ya watu ambao wamekulia katika jamii ambayo chakula ni adimu, sasa ndiyo wameanza kupata uwezo wa kupata chakula wanachotaka, wanalimbukia chakula.

Watu wenye generational wealth na elimu wanakula balanced diet kidogo tu, na washajua chakula kingi kinaleta matatizo katika afya.
sahihi mkuu babu yangu alifariki kwa kisukari nyumbani kwake mabufee yalikuwepo ukijumulisha na hizi kazi za kukaa kwenye gari umekaa nyumbani umekaa mazoezi 0 inakuwa changamoto
 
Vyakula vya viwandani siyo vizuri ndiyo Ndiyo maana wenzetu wachina wakija Tanzania wanapenda sana kutumia vyakula vya asili wanapenda kula Kuku wa kienyeji, Sea food, nyama ya mbuzi na wakipika wali hawaweki chumvi na hawatumii maji baridi
 
sahihi mkuu babu yangu alifariki kwa kisukari nyumbani kwake mabufee yalikuwepo ukijumulisha na hizi kazi za kukaa kwenye gari umekaa nyumbani umekaa mazoezi 0 inakuwa changamoto
Pole sana mkuu.
 
Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..

Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
Halafu hawali sana wanagusagusa tuu
 
Back
Top Bottom