Umewahi kuisikia sauti ya mungu? Unatambuaje akikujibu maombi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ?

Huwa wanasikia sauti yake mungu?
 
Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ?

Huwa wanasikia sauti yake mungu?
Tazama ewe mwanangu mpendwa Bujibuji Simba Nyamaume uungurumaye ngurumo kubwa kuliko radi, mimi BWANA MUNGU wako ninasema nawe muda huu.

Jifushikilie vizuri kwenye tendegu la kitanda chako usije kuanguka kwa hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…