Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Unapikaje Dagaa na vichwa vyake....aaargh
Sisi Wanaume wa huku usukumani ndio tunapenda hivyo nyinyi Wanaume wa Dar mnapenda Samaki wasio na vichwa kila kitu mnataka mkatiwe mpaka na kichwa?
 
Sisi Wanaume wa huku usukumani ndio tunapenda hivyo nyinyi Wanaume wa Dar mnapenda Samaki wasio na vichwa kila kitu mnataka mkatiwe mpaka na kichwa?
Wanaume wa usukumani mnapenda sana kujisifia na ugumu....

Kuna mmoja nimemkuta anasema hamtumii toilet paper, karatasi laini badala yake mnatumia magunzi kuchambia....

Dah! Nilichoka kidogo ni rest in piis...
 
Choroko ni moja ya Mboga sijawahi kuielewa..
Nina miaka zaidi ya kumi sijawahi kuila..
 
Wanaume wa usukumani mnapenda sana kujisifia na ugumu....

Kuna mmoja nimemkuta anasema hamtumiaa toilet paper, karatasi laini badala yake mnatumia magunzi kuchambia....

Dah! Nilichoka kidogo ni rest in piis...
😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…