Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Siku ukienda Cuba kusoma utakuwa unaelewa mapema ku-connect dots...Matango Tena 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukienda Cuba kusoma utakuwa unaelewa mapema ku-connect dots...Matango Tena 😀
Sisi Wanaume wa huku usukumani ndio tunapenda hivyo nyinyi Wanaume wa Dar mnapenda Samaki wasio na vichwa kila kitu mnataka mkatiwe mpaka na kichwa?Unapikaje Dagaa na vichwa vyake....aaargh
Sio mimi bali mleta mada. Uzi wa dagaa lakini bamia inajadiliwa kuliko marehemu dagaaKwanini unapigia debe vibamia?
Ngoja niende Cuba 😀Siku ukienda Cuba kusoma utakuwa unaelewa mapema ku-connect dots...
🤣🤣🤣🤣🤣anhaa! taste yake ikoje? nikija kwako peanut butter niweke kwenye mkate tu mamy au upike nisijue nile nimalize uniambie nimekula ubwabwa wenye peanut butter sawa eh
NimechekaNyie mashosti uzi wetu wa vibamia mmeuchakachua mpaka hamu ya kula ugali na sotojo la dagaa imepotea ghafla..
Acha nichakachuane na K Vant sasa...
Wanaume wa usukumani mnapenda sana kujisifia na ugumu....Sisi Wanaume wa huku usukumani ndio tunapenda hivyo nyinyi Wanaume wa Dar mnapenda Samaki wasio na vichwa kila kitu mnataka mkatiwe mpaka na kichwa?
😁😁😁Wanaume wa usukumani mnapenda sana kujisifia na ugumu....
Kuna mmoja nimemkuta anasema hamtumiaa toilet paper, karatasi laini badala yake mnatumia magunzi kuchambia....
Dah! Nilichoka kidogo ni rest in piis...
🤣🤣🤣Sio mimi bali mleta mada. Uzi wa dagaa lakini bamia inajadiliwa kuliko marehemu dagaa
Pitia ada na nauli hapa...Ngoja niende Cuba 😀
NitapitiaPitia ada na nauli hapa...
Naweka peanut butter kwenye mboga za majani kama spinach....pia naweka kwenye mihogo 🤣anhaa! taste yake ikoje? nikija kwako peanut butter niweke kwenye mkate tu mamy au upike nisijue nile nimalize uniambie nimekula ubwabwa wenye peanut butter sawa eh
Choroko ni moja ya Mboga sijawahi kuielewa..Kuna dagaa ndizi tena mama alikua akipika hii kitu kila mtu anatoweka , tunashindia parachichi kutwa , mpka ratiba nyingine tena kwa sababu ratiba ya siku ya chakula gani alikua kabandika ukutani mwa jiko , siku ya choroko haoni mtu😁 Makiwendo
😆😆Wanaume wa usukumani mnapenda sana kujisifia na ugumu....
Kuna mmoja nimemkuta anasema hamtumiaa toilet paper, karatasi laini badala yake mnatumia magunzi kuchambia....
Dah! Nilichoka kidogo ni rest in piis...
Nzur sanaUmefanya njaa iniume ghafla na mate kunidondoka😋
Ngoja weekend nimsaidie waifu kupika hayo masotojo, japo nafikiri kuweka Nazi badala ya peanut butter
Watu wengi wanasema hivo ila mimi mara 100 choroko kuliko maharageChoroko ni moja ya Mboga sijawahi kuielewa..
Nina miaka zaidi ya kumi sijawahi kuila..
Na wamama wa kichaga wana sifa sana 😢Choroko ni moja ya Mboga sijawahi kuielewa..
Nina miaka zaidi ya kumi sijawahi kuila..