Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Labda mkuu sijakutana
 
hivi mnakula dagaa kwa sababu hamuwezi kununua samaki au ni nini? binafsi sijawahi elewa sababu hasa ya kula dagaa wakati samaki wapo kibao wabaharini na ziwani mpaka mtoni kama kambale …
 
Ni kawaida mkuu wengine ndo vyakula vilivyotulea ni sawa na mimi nisivyoielewa ndizi mshale. Hata wapike machalari Ila ule ugumu huwa siuelewi 😁
Kuna mshale mgumu na Mlaini mtamu na ni ghali mno
 
Nadhani nimeizoea ndizi bukoba kwa ladha. Nimeishi na kina meku kiasi kwa hiyo kuna time yes unaona imepikwa fresh tu Ila taste unaona ipo tofauti na niliyoizoea. Nitajaribu zaidi πŸ™πŸ½
Uzuri mmoja moshi kuna kila aina ya mapishi ya ndizi na ndizi zipo za aina zote hata hizo bukoba zinapikwa na ,zipo za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…