Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
- Thread starter
- #301
Na bamia zinaongeza utelezi kwa mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mkuu sijakutanaHujakutana na mafundi tu mkuu. Hata hiyo roast iliyopikwa hapo naona wengi hawajawahi kuila ndio maana wanadhani itakuwa imedodekwa karanga hadi ikakureketa kooni.
Nishapikiwa hivyo na sister mmoja wa kanda ya ziwa. Mchuzi unakuwa mzito na bila kuambiwa huwezi kusikia ile ladha ya karanga kabisaa
Hiyo nimewahi sikiaaaNa bamia zinaongeza utelezi kwa mwanamke
Uko mjamzito?😂😂😂😂Hata Mimi choroko sizielewag kabisa
Tena zile nyanyachungu chungu sanaa ndo zenyeweAu sio ngoja niulize chatgpt kwanza
Hahahha kumbe🤔Unatakiwa ukimaliza Kula dagaa usinywe Maji hapo hapo Kaa kidogo ndo unywe ukinywa hapohapo unasikia kichefuchefu
Nitakuwa nakuja kwako kudowea nyanya chunguTena zile nyanyachungu chungu sanaa ndo zenyewe
Inaonekana wewe ukipika haziwi chunguTena zile nyanyachungu chungu sanaa ndo zenyewe
Karibu karibu 😁😁Nitakuwa nakuja kwako kudowea nyanya chungu
Ndio wapwani huwa wanawasema hamjui kupika 😁.. Ila kwangu huwa naona wao wamezoea spices nyingi sana tofauti na sisi ndio maana binafsi ile roast ya biriani huwa inanishindaKanda ya huko hata nazi hatujui kupikia, mie nazi nafosi fosi sana kwakweli ....
Ni kawaida mkuu wengine ndo vyakula vilivyotulea ni sawa na mimi nisivyoielewa ndizi mshale. Hata wapike machalari Ila ule ugumu huwa siuelewi 😁Labda mkuu sijakutana
Kuna mshale mgumu na Mlaini mtamu na ni ghali mnoNi kawaida mkuu wengine ndo vyakula vilivyotulea ni sawa na mimi nisivyoielewa ndizi mshale. Hata wapike machalari Ila ule ugumu huwa siuelewi 😁
Sasa hapa, nitolee chapati niwekee ndizi mshale na parachichi😋Mm mmojawapo naipenda mno
Nilipika na chapat aisee noma View attachment 3076590
Nadhani nimeizoea ndizi bukoba kwa ladha. Nimeishi na kina meku kiasi kwa hiyo kuna time yes unaona imepikwa fresh tu Ila taste unaona ipo tofauti na niliyoizoea. Nitajaribu zaidi 🙏🏽Kuna mshale mgumu na Mlaini mtamu na ni ghali mno
Itabidi yule binti akupikie ndizi mshale iliyotiwa utumbo na nazi 😋Nadhani nimeizoea ndizi bukoba kwa ladha. Nimeishi na kina meku kiasi kwa hiyo kuna time yes unaona imepikwa fresh tu Ila taste unaona ipo tofauti na niliyoizoea. Nitajaribu zaidi 🙏🏽
Uzuri mmoja moshi kuna kila aina ya mapishi ya ndizi na ndizi zipo za aina zote hata hizo bukoba zinapikwa na ,zipo za kutosha.Nadhani nimeizoea ndizi bukoba kwa ladha. Nimeishi na kina meku kiasi kwa hiyo kuna time yes unaona imepikwa fresh tu Ila taste unaona ipo tofauti na niliyoizoea. Nitajaribu zaidi 🙏🏽
😁😁😁😁 huyo hana muda na nazi. Ni karanga tuItabidi yule binti akupikie ndizi mshale iliyotiwa utumbo na nazi 😋