Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Hujakutana na mafundi tu mkuu. Hata hiyo roast iliyopikwa hapo naona wengi hawajawahi kuila ndio maana wanadhani itakuwa imedodekwa karanga hadi ikakureketa kooni.

Nishapikiwa hivyo na sister mmoja wa kanda ya ziwa. Mchuzi unakuwa mzito na bila kuambiwa huwezi kusikia ile ladha ya karanga kabisaa
Labda mkuu sijakutana
 
hivi mnakula dagaa kwa sababu hamuwezi kununua samaki au ni nini? binafsi sijawahi elewa sababu hasa ya kula dagaa wakati samaki wapo kibao wabaharini na ziwani mpaka mtoni kama kambale …
 
Nadhani nimeizoea ndizi bukoba kwa ladha. Nimeishi na kina meku kiasi kwa hiyo kuna time yes unaona imepikwa fresh tu Ila taste unaona ipo tofauti na niliyoizoea. Nitajaribu zaidi 🙏🏽
Uzuri mmoja moshi kuna kila aina ya mapishi ya ndizi na ndizi zipo za aina zote hata hizo bukoba zinapikwa na ,zipo za kutosha.
 
Back
Top Bottom