Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Chapat ni janga la taifa kwakweli πŸ˜€πŸ˜€nishakula chapat hata kutafuna ni Kwa shida πŸ˜ƒ
Kisamvu Cha Nazi ni kweli kitamu sana hasa kikilala sijui Ile ladha inatokeaga wapi
mamy chapati ni ukandaji, kanda chapati ambayo ukiisukuma inaenda hutumii nguvu na siri yachapati kua laini yenye kurasa ni kuianda unga had ulainike maji ya moto geresha tu mimi nakanda chapat may ya baridi na ikilala unakula kanda isukume had yale madonge yalainike iwe smooth utanipa mrejesho
 
Chapat ni janga la taifa kwakweli πŸ˜€πŸ˜€nishakula chapat hata kutafuna ni Kwa shida πŸ˜ƒ
Kisamvu Cha Nazi ni kweli kitamu sana hasa kikilala sijui Ile ladha inatokeaga wapi
vipi kiporo cha wali nazi na harage nazi nipate na chai ya rangi lazima nikila nivue had sidiria siwez kubanwa wakat nakula kitu napenda
 
Kabisa yaani maji ya barid yanatosha mm bhana shape ndo Ilikuwa ishu chapat lain shapesasa 🀣🀣🀣
Had nimejua watu wamecheka vya kutosha πŸ˜ƒ
 
Kabisa yaani maji ya barid yanatosha mm bhana shape ndo Ilikuwa ishu chapat lain shapesasa 🀣🀣🀣
Had nimejua watu wamecheka vya kutosha πŸ˜ƒ
unaisukuma vibaya, hakikisha ukishaikunja wakati unaikunjua unavyoisukuma usiibakishe sukuma moja kwa moja usibakishe unene juu wala chini
 
Choroko ni moja ya Mboga sijawahi kuielewa..
Nina miaka zaidi ya kumi sijawahi kuila..
unaujua mseto? sasa umix hizp chooooko na mchele halaf unamixia nazi mchuz wako wa papa pembeni oh my!! borohoa mnalijua ni choroko zipikwe na ubwabwa badala ya harage ni choroko za nazi unaunga kama maharage, sie tukiona tunataka tupike ubwabwa wa maua saa zingine tubatupiamo choroko humo vipi choroko za maua unazijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…