Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Endelea kushabikia misisiem magamba hapo lumumba kumbaf. Siku wasipokupeni hela ya mihogo uwe unasema nikuelekeze kwa wifi yako angalau ukale chakula.
Mlevi tangu lini akaweza kuhudumia familia? Nipe namba za shemeji niwe namuwezesha mara mojamoja familia isilale njaa.
Mi mchana nimepiga freekick kwaajili ya majukumu mengine na siyo kwamba nilikua siwezi kupata chakula.

Mlevi wewe.
 
Nimekaa huko wakati fulani😅
Tuachane na mambo ya dagaa tuzungumzie utamu wa samaki papa. Kama kwenye avatar ni wewe basi ashukuriwe Mungu kwa uumbaji wake. I will be there waiting for Papa fillets
 
Back
Top Bottom