Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
- Thread starter
- #601
🤣🤣😍Huo upishi ukidumu nao miaka 3 jiandae kuwa mgeni wa Dkt. Janabi pale MOI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣😍Huo upishi ukidumu nao miaka 3 jiandae kuwa mgeni wa Dkt. Janabi pale MOI
Sawa mwanao si naweza kumuoa?duniani wawili wawili yawezekana maybe ni mm aubpacha wangu
Jaribu hautajutia pishi lako hakikisha butter ni laini isiwe na punje punje. Pika vizuri hadi butter ibadili rangi na kuleta rangi ya mafuta.Peanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
We taira
Tembeza Maua basi...uwakereeeee😁😁We taira
Peanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Hahah maua natembezaga kwa baadhi ya members maana wengine huwa nawapenda 👨👩👦 siwezi wapa dislikesTembeza Maua basi...uwakereeeee😁😁
Tuma ingine kama ulotuma Jana😂Hahah maua natembezaga kwa baadhi ya members maana wengine huwa nawapenda 👨👩👦 siwezi wapa dislikes
Nn?Tuma ingine kama ulotuma Jana😂
Vedeo clip😍
Na hizo pilipili hoho vepe mkuu??? 😬😬😬
Unachafua dagaa la watu🤣🤣Si umesema unataka au? 😛😛😛
Nataka tuchafuane dear hutaki mkojo mzito mzito?Unachafua dagaa la watu🤣🤣
Nisamehe sirudii Tena 😂Nataka tuchafuane dear hutaki mkojo mzito mzito?
Hutaki tupeane vikojoleo 😉Nisamehe sirudii Tena 😂