ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Uta 🙄 sana mwaka huu🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uta 🙄 sana mwaka huu🤣🤣🤣🤣
Hamna sema huwa sizipendi kinomaaa😂😂😂Una gubu wew
Hapa nakuunga mkono 😁😁Kisamvu kitiwe karanga na migebuka plus pilipili🙌😋 utamu mpaka kichogoni
Haukundishwa na jinsi ya kutengeneza limbwata fresh kutokea kaliua 😁🤣🤣🤣huyo naemzungumzia ni wa hapo hapo Nzega, hata hivyo nimekulia huko naweza kuyajua mengi kukuliko
Uta 🙄 sana mwaka huu🤣🤣🤣🤣
Alafu sijawah kula Hawa samaki migebuka sijui Niko Dunia gani nasikia tu watu wanasifiagaKisamvu kitiwe karanga na migebuka plus pilipili🙌😋 utamu mpaka kichogoni
Sijasoma uzi wote vipi umechangia kitu ili nikasomeJamani 😀😀
Ahaahha ndiwooooLishangazi litapikAaaa
Njoo ule ugali kwanza na supu ya bamia😂😂Sijasoma uzi wote vipi umechangia kitu ili nikasome
Uuuuh supu ya bamia tena....Njoo ule ugali kwanza na supu ya bamia😂😂
Hapana labda km Ina jina lingineUuuuh supu ya bamia tena....
Wee endelea tu mi kwa sasa nasbr antiel apike Nsusa... Sijui unaijua hiyo
Mboga flan hivi ya kinyamwezi.. ukila kama ina mchanga hivi 😂😂🙌🙌🙌Hapana labda km Ina jina lingine
We unakulaga ugali laini laini? Wew ni junior?Na dona Tena?
Nimekulia Mbeya kwa Wajomba zangu ila mimi ni mgindo wa Kilwa kivinje,Masoko na Kipatimo huko..Bila shaka utakuwa ni mnyakyusa😀
nawe piaBoy byee,uwe na weekend njema.
Huwa napika hivyo ila sharti dagaa zikauke.Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461