Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Safi sana na ingekuwa mawese ingekuwa safi zaidi ikiongezewa na pilipili mwendokasi dakika za mwisho za mapishi ili isipasukie kwenye mapishi.Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461