Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Mimi ni mpenzi wa wale dagaa wa Kigoma umenitamanisha sana hapo uwe na ugali kidogo na maziwa ya Mtindi ukiwa na parachichi la Moshi...
 
Ali
Alizidisha mafuta kuna wengine karanga(ntwili) wanaweka mengi na futa la kutosha kisamvu kinakuwa km mlenda, ila kisamvu cha karanga ni kitamu kuliko cha nazi
Kabisa Yani mlenda kabisa kisamvu haionekani ni mikaranga kikipikwa vizuri ni kitam sana karanga Huwa nazielewa
 
kwa kweli bamia ulendemkaji wake kwenye mchuzi siupendi kabisa ni kama natengenezaga picha mbaya sana akilini mwangu
 
Back
Top Bottom