The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Interesting....Bado rudi usome tena about soul kaka, labda niseme your soul. Hebu jaribu kufatilia soul yako kaka utagundua kuna kitu.π π
Nitamchek Mr lighter anipe hintsInteresting....
True - hii ukitulia vizuri utapata insight ya hilo jambo.Hii khali huwa inanitokea mara moja moja.
Kinaweza kufanyika kitendo lakini kumbukumbu zangu zinanijulisha kuwa haya ni marudio, hiki kitu umewahi kukishuhudia kabla.
Sure!Bado hujaielewa Deja Vu vizuri endelea ku dig deeper kaka
Hii unayosema wewe ni reincarnation iko tofauti na DeJavuHuenda uliishi huko zamani kabla hujafa na kuzaliwa upya...πππ
Nafsi inaweza kusafiri!Nikupe hint tu, Kwanza jifunze elimu ya Nafsi (Soul) ukishakua na elimu ya hii kitu hata kama sio kwa upana basi utapata jibu lako kuhusu Deja Vu.
Tunaomba hiko kitabu kaka....De ja Vu is Really
" You are there before you are "
Haya falsafa ya kale inakuambia ulishaishi duniani kabla ya kuishi...kuna kitabu ntakuelekeza ukisome, chenye picha kinatishΓ lakini
InterestingHii unayosema wewe ni reincarnation iko tofauti na DeJavu
π€Interesting
NtarudiLeo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"
katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.
Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu
Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.
Sasa nakumbuka kipindi naishi Bukoba , nilikuwa Nikienda eneo jipya hasa vijijini nilikuwa napata upya nashangaa , watu ,mazingira na kila kitu.
Ila nilipofika DSM pamoja kwamba it was my first time ila sikuwahi kupata ule mshangao wa mazingira watu n.k
Yaani ni Kama DSM niliwahi kuishi kila eneo nikienda sikuwahi kushangaa chochote iwe watu mazingira hadi Maisha
Yaani huwa nahisi Kama nilizaliwa Dar nakukaa miaka mingi Ila sio kweli.
Sehemu niliokaa over 20 years plus naishangaa Ila sehemu niliokaa muda mfupi sipati mshangao iwe mazingira na kila kitu.
So nilichoelewa hapo ni kuwa 'Dejavu' it is work out in Dream city Dar es Salaam and not in home land Bukoba.
Mfano nimekaa Temeke over five years karibu na uwanja wa mkapa Ila sikuwahi kuingia hata siku moja kuangalia mpira Ila nilipokuwa Bukoba hakuna siku nimekosa kwenda Kaitaba stadiums kuangalia yanga au simba zilipokuwa zinacheza , maana yake ninapokuwa dsm nakuwa more focused with life Ila ninapokuwa BBukoba kila kitu kwangu kinakuwa kigeni kila siku.
Ntaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi
Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
Imeisha hyo.π―π―Huenda uliishi huko zamani kabla hujafa na kuzaliwa upya...πππ
Imenitokea sanaLeo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"
katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.
Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu
Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.
Sasa nakumbuka kipindi naishi Bukoba , nilikuwa Nikienda eneo jipya hasa vijijini nilikuwa napata upya nashangaa , watu ,mazingira na kila kitu.
Ila nilipofika DSM pamoja kwamba it was my first time ila sikuwahi kupata ule mshangao wa mazingira watu n.k
Yaani ni Kama DSM niliwahi kuishi kila eneo nikienda sikuwahi kushangaa chochote iwe watu mazingira hadi Maisha
Yaani huwa nahisi Kama nilizaliwa Dar nakukaa miaka mingi Ila sio kweli.
Sehemu niliokaa over 20 years plus naishangaa Ila sehemu niliokaa muda mfupi sipati mshangao iwe mazingira na kila kitu.
So nilichoelewa hapo ni kuwa 'Dejavu' it is work out in Dream city Dar es Salaam and not in home land Bukoba.
Mfano nimekaa Temeke over five years karibu na uwanja wa mkapa Ila sikuwahi kuingia hata siku moja kuangalia mpira Ila nilipokuwa Bukoba hakuna siku nimekosa kwenda Kaitaba stadiums kuangalia yanga au simba zilipokuwa zinacheza , maana yake ninapokuwa dsm nakuwa more focused with life Ila ninapokuwa BBukoba kila kitu kwangu kinakuwa kigeni kila siku.
Ntaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi
Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
InterestingImenitokea sana